Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga ua Kuna wazee wengi TTCL...na wale vyeti vizuri wasio na ubunifu Wala kutaka kuumiza vichwa, mradi mshahara unaingia.Nini hasa kinafanya TTCL isiendeshwe kwa faida kulinganisha na makampuni mengine ya simu!? Ni kukosa uongozi, kushindwa kufanya maamuzi ya kibiashara kwa wakati, wafanyakazi wasio na weledi au!?
Itakuwa ama Bharti Airtel wataka warudi au wamerudi kwa jina jingine au ameandaliwa mnunuzi mpya.
Suala ni kumiliki mali za nchi kama TTCL ambapo katika nchi zote duniani mashirika haya hutasikia yakimilikiwa na watu binafsi kama inavyotokea hapa kwetu Tanzania.
Ya mwisho yote haya.
Kuna kampuni itawanunua tu, hiyo ni fursa kwa makampuni mengine. Mfano Zantel wateja wale wote wakauzwa kwa tigo.Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.
Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.
Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?
Tunaitakia kila la heri.
Nimewafatilia kwa internet wako vizuri. Ili kuwarudisha wateja kwenye yale makampuni yao ya simu TTCL lazima ife na kusiwe na ushindani tena.Nikatoe hela zangu chap. Ila wako vizuri na kifurushi chao cha BUFEE hata ukiwa na mia unajiunga bando
Hivi kuna simu za viganjani za TTCL?! Sijui zitakuwaje, zinapiga kweli.Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.
Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.
Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?
Tunaitakia kila la heri.
Itakuwa kama za tritelSasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?
Uhitaji ni mkubwa sana na Tanzania huduma ya internet iko na bei juu sana kama hakuna ushindani lazima wateja kutumia tigo, halotel, vodacom na airtel watake wasitake na hao ni majizi wakubwa kupitia huduma zao.Na kama suala ni kuuza mali za TTCL basi hata za ATCL ziuzwe pia maana mashirika yote haya yapo kwaajili ya kutoa huduma kwasababu kuna uhitaji na sio kwasababu kuna faida!
Serekali haitakiwi kufanya biashara ila inapaswa kuwalea/kuwajenga, kuwaandalia na kuwaboreshea mazingira wafanyabiashara watanzania(raia) kwa manufaa ya ustawi wa taifa letu.
Mwendazake aliiharibu sana hii nchiBaada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.
Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.
Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?
Tunaitakia kila la heri.
Tusipokuwa makini hata huo mkongo watauuzaBaada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.
Mwaka wa fedha wa Kiserikali ulioisha Posta wamerekodi faida ya Bilioni 20Na posta nayo shida ipo
Wafanyakazi wasio na weled wazee wa kitu kidogo ten percentNini hasa kinafanya TTCL isiendeshwe kwa faida kulinganisha na makampuni mengine ya simu!? Ni kukosa uongozi, kushindwa kufanya maamuzi ya kibiashara kwa wakati, wafanyakazi wasio na weledi au!?
It is interestingMwaka wa fedha wa Kiserikali ulioisha Posta wamerekodi faida ya Bilioni 20
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Aisee ni aibuUzalendo na kukiuka miiko ya kazi
Huo unaouita uizi una baraka zote za Serekali kwamaana wanachangia sana kampeni za uchaguzi na wapo tayari kuwauza wateja wao wakati wowote ule serekali itakapowahitaji rejea kuvuja kwa mawasiliano ya simu ya wenye CCM wakati wa magufuliUhitaji ni mkubwa sana na Tanzania huduma ya internet iko na bei juu sana kama hakuna ushindani lazima wateja kutumia tigo, halotel, vodacom na airtel watake wasitake na hao ni majizi wakubwa kupitia huduma zao.
Mkuu hiyo line uliinunua kiasi gani mpaka utake fidia, buku au zaidi?Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.
Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.
Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?
Tunaitakia kila la heri.