Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Battle ya Sugu na Tulia kali sana, na kwa trend ya politics ambayo tunaenda nayo sasa namuona kabisa Tulia ana wakati mgumu!! Ngoja tuone hizo tarehe 21 (Uzinduzi mikutano ya CDM) na tarehe 25 (Ujio wa TAL) utaleta niniUpo sahihi sana ila sema tu baadhi ya watu bado wapo kwenye njozi za Magufuli kuwa kila uchaguzi ni lazima ccm ishinde.
umeandika ukweli mtupuMkuu raia wa tz si wa kuwaamini,mbowe na sugu walipowekwa ndani walidhani raia wataingia mtaani. Sugu alidhani mbeya kitanuka, lakini wakaweka mkwara wa askari watu wakanywea. Ndicho kitakachotokea. Ccm linapokuja suala la kubadili matokeo hawana aibu wala maridhiano
Mimi ni CCM, ila sijawahi kuwa upande wa jamaa na akina Polepole wake, walitaka kuturudisha miaka 100 nyuma, Mtanzania yeyote ambaye wananchi watamuona anafaa ana uwezo wa kuongoza nchi hii, thats my belief, lets see Mama atatupeleka wapiKwa sasa mawazo ya Jiwe yashatupwa kwenye dust bin ya kuwalazimisha watanzania wafuate mawazo yake.
Babu ondoa mawazo ya karne ya 19 kwa sasa watu tuna agenda yetu na naamini wana ccm wenye mawazo mgandp hawataamini macho yao.Mafuriko yaliyotokea uyole ya kati hapa,waathirika wote wa mafuriko wamepewa mahindi debe mbili mbili na godoro foot 2 na huyu Tulia...sasa wapiga kura ndo hawahawa maskini....sa itakuwaje? Sijui labda
Nakuunga mkono kama mwanansiasa mkomavuMimi ni CCM, ila sijawahi kuwa upande wa jamaa na akina Polepole wake, walitaka kuturudisha miaka 100 nyuma, Mtanzania yeyote ambaye wananchi watamuona anafaa ana uwezo wa kuongoza nchi hii, thats my belief, lets see Mama atatupeleka wapi
Hakuna moumbavu atakayemchagua Sugu wewe,Mbeya tunataka maendelea sio porojo.Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya.
Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa ni chaguo letu mh Sugu.
Tulia rudi kwenu wanako kufahamu maana hapa uliletwa kwa lazima.
Wanao sema hivyo ni maccm wakati mie ni mwana cdm niliopo Mbeya naelewa hali halisi ya kisiasa hapa Mbeya.
Babu?😳....haya sawa nimekuelewaBabu ondoa mawazo ya karne ya 19 kwa sasa watu tuna agenda yetu na naamini wana ccm wenye mawazo mgandp hawataamini macho yao.
Pole, ndiyo maishaWadanganye mazuzu wenzako wasiyo ijua Mbeya
Narudi tuu kukwambia ,zama za hadithi zimepita tunataka matokeo..Labda kama wewe kwenu ni umalila
Mkuu karibu sana Mbeya maana siku zinavyokwenda speed naiona Mbeya ikishe upya.Battle ya Sugu na Tulia kali sana, na kwa trend ya politics ambayo tunaenda nayo sasa namuona kabisa Tulia ana wakati mgumu!! Ngoja tuone hizo tarehe 21 (Uzinduzi mikutano ya CDM) na tarehe 25 (Ujio wa TAL) utaleta nini