I will miss u my nizzle for shizzle.Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Karibu kwetu bonde tule mihogo ya bonde, muheza, tuhezaWapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Nenda kwa amaniWapendwa,

Kila la heriWapendwa,

Sky kimekupata nini, nieleze wa kwetu, umekuwa frustrated na nini? Hapa ni mahali pa kuja kucheza baada ya kufanya kazi zako. Unaweza maliza hata wiki hujafika, lkn ukija unaangalia kinachoendelea duniani/tanzania. karibu Muheza nyumbani,Karibu kwetu bonde tule mihogo ya bonde, muheza, tuheza