Kwaherini

Kwaherini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wapendwa,

Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.

Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
 
Mhhhh! Majukumu gani hayo ya kushindwa kuingia humu hata kwa dakika chache tu kwa siku au kwa wiki? Michango yako humu imeenda shule na niliwahi kukwambia hivyo miezi ya nyuma. Hebu achana na hiyo dhana ya kutaka kuaga bhana.
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
I will miss u my nizzle for shizzle.
NimejifunzA mengi sana kutoka kwako
 
Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu. Hapa ni mpata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigour kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
Karibu kwetu bonde tule mihogo ya bonde, muheza, tuheza
 
Nenda kwa amani
 
Kila la heri
Ila najua ubadili ID
 
Karibu kwetu bonde tule mihogo ya bonde, muheza, tuheza
Sky kimekupata nini, nieleze wa kwetu, umekuwa frustrated na nini? Hapa ni mahali pa kuja kucheza baada ya kufanya kazi zako. Unaweza maliza hata wiki hujafika, lkn ukija unaangalia kinachoendelea duniani/tanzania. karibu Muheza nyumbani,
 
Back
Top Bottom