Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Kiranga naye alituaga akaja kwa ID ya Al-Watan.
Bila shaka na wewe utarudi kwa ID nyingine!
Bila shaka na wewe utarudi kwa ID nyingine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utawezaje kuendesha maisha nje ya Jamiiforums? Ukifanikiwa hilo hata kwa miezi 6 rudi utupe mrejesho, kipi kilichokuongoza hatimaye kulifanikisha hiloWapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Heshima ni kitu kizuri saana. Sidhani kama umetumia staha kuandika.Alikua na vyeti feki sasa hakuna mshahara.mb anatoa Wapi. Asante ngosha.hawa wanawake walikua na nyodo sana
😀😀😀😀😀😀😀😀Alikua na vyeti feki sasa hakuna mshahara.mb anatoa Wapi. Asante ngosha.hawa wanawake walikua na nyodo sana
Sijui nimekula maharage ya wapiHeshima ni kitu kizuri saana. Sidhani kama umetumia staha kuandika.
We naweeeeInsha Allah kila la kheri,mm pia nmepanga kujitoa jf,mda si mrefu ntajitoa insha Allah
Hahaha [emoji23]kweli voo unafikir natania,ntaja waaga hapa na mieWe naweeee
Itabidi uje kule kwa Waziri Mkuu unipe sababu zako mana hapa sitakuelewa kabisaa. [emoji23] [emoji23]Hahaha [emoji23]kweli voo unafikir natania,ntaja waaga hapa na mie