Kwahio salome ataondoka na aziz au ndoa ilikuwa ni ya bongo movie

Hakuna rangi ataacha kuona Aziz this time, kitumbua kimeshaingia mchanga, hata kama afanye namna aondoke naye 😑
 
Anajitambulisha ameoa na ana mke.atapewa stahiki zake ye na mkewe.pia hamisa aaaweza kwenda na kurudi.uwezo wanaona.
Ila nna hofu kama huyu dada anaweza jiheshimu na kujizuia .na hata huyo bwana nae huko akikutana na pisi Kali za morocco kama atatulia.
Nazidi kuelewa mahusiano na ndoa vinahitaji watu wawili wanaojitambua
 
Minawaza kwenye hiyo 1.8b, yeye Ki zake ngapi?
 
Yule ni mswahili amezoea umbea na upashukuna wa kibongo, ataweza kuishi morocco kusiko na vijiwe vya umbea?
 
totoz za kiarabu ataweza kuzikwepa vipi? Huyu mshangazi ndio basi tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…