PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
PONJORO KM PONJORO (In Gwajima's voice)
 
Mbona Makonda mlimwambia alete vyeti, mwambieni na Tarimba aweke vyeti ili awafunge mdomo.

Hapa ni kuweka vyeti mezani.

Mimi ukinishtumu elimu yangu namwaga vyeti vyote hadi Daftari langu la Stadi za Kazi.
 
Hawa kina mama tuliowapa hii mihimili ni shida
 
Hawa vilaza wa hivi lazima waweweseke na Dr Gwajima. Hawamfikii kwa upeo wa kufikiri hata kidogo. Vilaza wakubwa hawa. Wasubiri kubebwa na ujanja ujanja tu wa mjini.
 
Obviously, this bastard lives in a glass house; therefore, he shouldn’t be throwing stones!
 
Sasa huyu Tarimba ndio alitakiwa aende veta maana ni mzigo bungeni na sura yake kama anakunywa mnazi mijitu yenye hoja za hovyo bungeni inachosha hata kusikiliza
 
Huyu jamaa toka alipo toa laana kwa gwaji boy ya kuongea ukweli nilitamani kumfahamu japo kidogo tu.........maana nakumbuka baba yake alifia chooni huko ulaya..............ila huyu jamaa ni mweupe sana ..........hawa ndugu zetu katika imani hivi vyeo walikutana navyo kwa kuwa walikuwa wafadhili wa chama ila sio shule ..........huyu shule hana.......wala sio msomi sasa ajichanganye kwa gwaji boy ndio atajua kwanini rangi ya buluu si nzuri kwa uganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…