PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bado The weekend ( Ditram Nchimbi ) ninamashaka nae sana

Huyo yupo kwenye list ya mafisadi wa elimu aliyoitoa Kainerugaba Msemakweli.


 
Lile sio bunge ni kikao cha CCM huwa wanakutana Kwa mambo ya chama chao na sio Kwa ajili ya wananchi na nchi

Bunge limejaa vilaza kama huyo jamaa alafu utegemee liisimamie serikali?
 
Kwanza inakuwaje miaka aliyosoma Primary&Sec isijulikane na yupo hai?

Kama alitoka Madrasa kwenda diploma iwekwe wazi!

Mbona akina Lusinde,Kishimba hawajaleta mbwembwe kwenye elimu zao.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Tarimba mzushi tu sema pesa ukiwa nayo unaweza fanya lolote nchi hii

Ova
 
Ponjoro la Kinondoni🤣

 
Huyu 'mwalabufeki' ni mkamaria profesheno? Watu wanafilisika na kutelekeza familia zao kwasababu ya hawa nabado anajidai mwisilamu safi
 
Nasikitika sana kuona kundi la KONDOO likipewa ridhaa ya kuongoza SIMBA............ anyway ndo maana HOJA zao huwa za kusifia na sio kujengaaa..........GWAJIMA is my hero forever
 
Nasikitika sana kuona kundi la KONDOO likipewa ridhaa ya kuongoza SIMBA............ anyway ndo maana HOJA zao huwa za kusifia na sio kujengaaa..........GWAJIMA is my hero forever ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…