PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila ma IT wa ofisi ya Bunge ni wa ******* .
Ya yule dada Kenge waliamua kuondoa sehemu yote ya elimu na kuacha hamna kitu baada ya watu kwenda kuisambaza elimu yake.
Sasa sijui wanamaanisha nini kwamba hawa wabunge wanakuwa wanatoa taarifa za uongo au inakuawaje how comes mtu asiwe comfortable na elimu yake mbona jumanne kishimba yupo comfortable na elimu yake ya darasa la saba
 
 
Nchi hii tafuta Hela , mengine yatakua yanajiendea tu.

Ukikomalia vyeti , tutawauliza nyie wenye vyeti mmefanya nini Cha maana ?
 
Kama alianza 9/2008 anamaliza 9/2009 hamnaga 2008-2008 upewe Diploma ambayo inatambulika NA Nacte na inategemea na chuo kama anasoma kozi anaeza akapewa certfcate lakini sio kila certificate inatambulika na nchi
Hizo hapo za Tarimba ni certificates za makongamano.
 
Itisheni mdahalo naye tujue ukweli wa vyeti vyake
 
Hakuna kitu kinaumiza matajiri kama pesa ipo ila elimu hakuna, wanakua na inferiority complex
 
Hiyo Diploma ,Sijui Tanzania of Journalism, Dar es salaam, ndo madude gan ??.

Ni chuo Cha wapi???
1. LLB (Legum Baccalaureus) ni miaka minne miaka mitatu ni Open University of Dar Es Salaam
2. Labda alimaanisha Tanzania School of Journalism (TSJ)- hii ilikuwepo miaka ya nyuma sana kabla ya kubadilishwa kuwa (The School of Journalism and Mass Communication) sehemu ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam
 
Haya yooote chanzo mdomo....ni Bora hata angejikalia tu kimya,amakweli mdomo uliponza kichwa
 
Mmamae mbunge ana education background kama beki3, yaani hata hajui, primary, secondary na diploma alisoma mwaka gani.
 
Mbona Makonda mlimwambia alete vyeti, mwambieni na Tarimba aweke vyeti ili awafunge mdomo.

Hapa ni kuweka vyeti mezani.

Mimi ukinishtumu elimu yangu namwaga vyeti vyote hadi Daftari langu la Stadi za Kazi.
Lucas mwashamba kapoa
 
Wajumbe bado wako nae Tu....
Wajumbe sasa tunaanza mpaka kule sport pesa inawezekana uwenyekiti kawadanganya ka win mikeka mengi tokea ulaya.
Kumbe alikuwa mcheza karata na makorokoro ya kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…