PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vyuo vyote LLB ni miaka minne
Tumaini ni 3yrs
Sema hz cv za wabunge ni vioja sana..
Mihimili ambayo ipo serious na ukaguzi wa elimu ni serikali kidogo, na mahakama (hapa vilaza ni wachache)
 
Hii CV haibebeki. Yaani mtu ashindwe kufuatilia na kutilia mkazo elimu hadi amalize, inawezekana je akawa kiongozi? How come a failure can lead intellectuals?
 
Yule jamaa sura inaonekana ni mlevi wa siku nyingi kwa hiyo yawezekana alikuwa amelewa
 
Wabunge wengi pale CV za kubumba, na mbaya zaidi hakuna organ ambayo inaweza kufanya verification ya elimu zao, akisema amesoma Tanzania of Journalism sawa tu hata kama hakipo!!
 
Kwanza inakuwaje miaka aliyosoma Primary&Sec isijulikane na yupo hai?

Kama alitoka Madrasa kwenda diploma iwekwe wazi!

Mbona akina Lusinde,Kishimba hawajaleta mbwembwe kwenye elimu zao.
Hii nchi inavituko sana mzee ukichukulia sirias sana unaweza kufa mapema. Kiufupi huyu hana kitu .

Hakuna diploma ya mwaka mmoja mmoja. Halafu lasaba na olevo hajurikani kamaliza lini .
 
Huyu ni kilaza hata aliye edit nae kilaza alishindwa kubalansi miaka kweli jamani kuna diploma ya mwakq mmoja mmoja aise huyu ni kilaza hata bosi wao alifeli form four wote ni vilaza.

Huyu na mkazi wote vilaza
 
Hakuna nchi rahisi kuiongoza kama Tanzania, hata mbuzi anaweza kuwa kiongozi.
Hivi hadi leo hujalamba asili wewe mpare?
Hichi ndiyo kipind kizur cha kulamba asali sasa
 
Tuanzie ordinary level na advanced alisoma wapi na ufaulu wake ukoje!? Tuanzie huko Kwanza. Kuhusu hizo stashahada za mwaka mmoja huenda inawezekana Kwa sababu zote ni za kubet kitu ambacho sidhani km ni muhimu Sana Duniani.
 
Na huyu ndo wagombea wa Upinzani walienguliwa kuwa hawajui kusoma akapitishwa yeye msomi mbuzi🚮🚮🚮
 
Tz Rai wamedhurumiwa Sana yote haya yaliletwa na tabia ya kupokea na kuhifadhi bila kupekua.
Hivi wanao zihakiki hizo CV huwa hawajiridhishi kuhusu muda na vyuo walivyosoma hao waheshimiwa?
Au wanaambiwa tu andikeni na mtuletee chochote kinachoitwa CV ?
Jinsi nilivyoo ona anavyoongea siku ile nikasema huyu jamaa kama kasomq sana labda Form 4
 
Kesho utakuta kateuliwa kugombea kiti cha Uraisi au Umakamo wake bila was
 
Certificate sidhani kama ni zile za kusoma kabisa. Nafikiri labda ni certificate zile za kuhudhuria makongamano na semina ambazo baadae unapewa certificate.
😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…