PreGE2025 Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisoma Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanza inakuwaje miaka aliyosoma Primary&Sec isijulikane na yupo hai?

Kama alitoka Madrasa kwenda diploma iwekwe wazi!

Mbona akina Lusinde,Kishimba hawajaleta mbwembwe kwenye elimu zao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya walikuwa sahihi kutucheka, karibia ya wabunge wetu wote ni vilaza na ndiyo maana ni wachawi kwa sababu hawajiamini. Yaani fikiria mtu kama Tarimba au Musukuma eti anatutungia sheria ya nchi, si ujinga huu jamani?
 
Ila hii CV inachosha kabisa kuitazama, Ponjoro alikua anasoma mwaka mmoja mmoja tyuuh.
Duuuh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu mtu wa Tanga, kazi yake kubwa ni kufuga mapaka na hata pale kwake Kinondoni penye mgahawa ni full mapaka tu, wengine wanasema ni nduguze Ponjoro wanakuja kusalimu wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…