Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Lengo ni Dua

Dua ya dini moja imewakilisha zote ukitaka kila mwenye dini yake yafanyike maombi si patakeshwa Mkuu
Siku ya Yanga day itakuwa sala kutoka upande mwingine, maombi ya Wagalatia yatawakilisha dini zote pia.
 
Niliandika humu juzi kuinua yanga wajiepushe na kujifungamanisha na vyama vya siasa na dini
 
Hizi dini zilizoibukia mashariki ya kati, hasa hii iliyoanzishwa na warlord ni janga kwa dunia.

Kila inaposhamiri, amani hutoweka/kupungua sana.

Waafrika bado tuna nira ya ukoloni shingoni.
Nilijua wapumbavu wamepungua kumbe bado wapo wengi!?
Hilo unalolizungumza na amani wapi na wapi!?
Ukraine nako kuna hao unaowazungumzia?
Dunderhead
 
Hizi timu za kariakoo zinafanana akili na tabia, ni timu zilizojawa uislam na uccm. Juzi tu Mangungu katoka kufanya dua ya kuombea Simba na hakuzingatia kama kuna wanachama na mashabiki wengine wa imani nyingine tofauti na uislam lakini leo Yanga wanarudia nao kosa hilo hilo lilitanguliwa kufanywa na Simba. Huo ni ubaguzi wa kidini kama wanavyofanya katika ubaguzi wa kisiasa.
 
Huwa nawashangaa wakristu wanaoshanikia timu hizi mbili za kariakoo eti timu yangu. Zile ni taasisi za dahwa
 
Lengo ni Dua

Dua ya dini moja imewakilisha zote ukitaka kila mwenye dini yake yafanyike maombi si patakeshwa Mkuu
Inawakilisha zote vipi wakati Kila mmoja ana Mungu tofauti na mwenzie. Mambo yanayoumganisha jamii epuka kuchanganya mambo ya dini. Hawa watu huwa hata hawajishtukii, unakuta press conference walasalimia watu SALAMALEKO , kama ungekuwa na akili hata mb Moja ungejua ni kwa nini salamu ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ilitungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…