Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Juzi naye Katibu Mkuu John Mnyika naye aliomba Ofisibya Msajili iwape RUZUKU ya chama chao..Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha.
Katiba mpya sawa .
Mnazunguka kudai katiba mpya.
Kwenye madai kuna pande 3 .
1. Mdai
2.Mdaiwa
3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi.
Nambari tatu si lazima.
Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni nani ?
Samia hamumtambui, Serikali hii iliyo chini ya Samia hamuitambui.
Sasa hiyo katiba mnaidai mikononi mwa nani?
Mbawajaza wananchi uzushi ili wafanye mapinduzi kama yale ya October 29.
Katiba mpya hamupati
WamechanganyikiwaJuzi naye Katibu Mkuu John Mnyika naye aliomba Ofisibya Msajili iwape RUZUKU ya chama chao..
Ajabu hawaitambui Serikali lakini wanatanbua ofisi ya msajili ambaye ni mtumishi wa Serikali wasiyoutambua.
Kuwa na Makamu Mwenyekiti Mvuta bangi usitegemee aongoze chama kwa busara
Ruzuku ipi hiyo?Juzi naye Katibu Mkuu John Mnyika naye aliomba Ofisibya Msajili iwape RUZUKU ya chama chao..
Ajabu hawaitambui Serikali lakini wanatanbua ofisi ya msajili ambaye ni mtumishi wa Serikali wasiyoutambua.
Kuwa na Makamu Mwenyekiti Mvuta bangi usitegemee aongoze chama kwa busara
Hawa watu hawajielewaAlternative walizo nazo za kudai katiba mpya ni zipi? Lets see
1. Wakubali uhalali wa serikali, waiombe katiba mpya.
Hapa it means wamekubaliana na uchaguzi ulikuwa huru na haki, na serikali halali ipo madarakani ikiwaongoza. It means wale matapishi yao. Si rahisi kutokea.
2. Waikatae serikali, walazimishe uchaguzi urudiwe, ipatikane serikali watakayoona ni halali, wadai katiba mpya au kama ni wao waandike katiba mpya.
Hili litahitaji muscles ambazo hawana. Si rahisi kutokea.
3. Wapinge uhalali wa serikali ila wakubali utawala wake, waishinikize serikali pamoja na kutokuikubali itoe katiba mpya.
Hapa watahoji uhalali wa upatikanaji wa serikali, Hawatakataa uwepo wa serikali, ila watakataa uhalali wake. Kwao wanatawaliwa na serikali haramu.
Hili linawezekana na ndiyo option inayotumika.
Sisi mmeshatuita haramu.Nyinyi machawa ni matakataka yasiyo na faida yoyote ile kwa nchi. Unauliza anaidai wapi Katiba na wakati huo huo jibu unalo!
Si anawadai nyinyi wahuni ambao mko tayari kuua ili tu muendelee kutawala kwa mabavu!!
Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha.
Katiba mpya sawa .
Mnazunguka kudai katiba mpya.
Kwenye madai kuna pande 3 .
1. Mdai
2.Mdaiwa
3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi.
Nambari tatu si lazima.
Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni nani ?
Samia hamumtambui, Serikali hii iliyo chini ya Samia hamuitambui.
Sasa hiyo katiba mnaidai mikononi mwa nani? Mnawajaza wananchi uzushi ili wafanye mapinduzi kama yale ya October 29.
Katiba mpya hamupati
Wewe kenge usituchoshe. Si muachie nchi ili tudai katiba kwa serikali halali. Katiba ni ya wananchi sio ya Heche pimbi wewe mnuka kSisi mmeshatuita haramu.
Sasa mtu haramu ana mamlaka gani ya kuwapa nyie katiba mpya?
pumbavuWewe kenge usituchoshe. Si muachie nchi ili tudai katiba kwa serikali halali. Katiba ni ya wananchi sio ya Heche pimbi wewe mnuka k
Mimi, wewe na yule. Katiba ni mali ya wananchi na ndio wanaotakiwa kuiandaa kwa makubaliano yao wananchi.Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha.
Katiba mpya sawa .
Mnazunguka kudai katiba mpya.
Kwenye madai kuna pande 3 .
1. Mdai
2.Mdaiwa
3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi.
Nambari tatu si lazima.
Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni nani ?
Samia hamumtambui, Serikali hii iliyo chini ya Samia hamuitambui.
Sasa hiyo katiba mnaidai mikononi mwa nani? Mnawajaza wananchi uzushi ili wafanye mapinduzi kama yale ya October 29.
Katiba mpya hamupati