instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Beberu ni huyu hapa chiniBeberu ni nani na sifa yake ni ipi?
Mtoa huu uzi atakuwa junsia gani sijui maana kuna jinsia nyingine tarehe kama hizi wengi huwa kwenye zile tarehe zao.Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
Junsia ni kitu ganiMtoa huu uzi atakuwa junsia gani sijui maana kuna jinsia nyingine tarehe kama hizi wengi huwa kwenye zile tarehe zao.
Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberm
Mwalimu naona unapambana sana kuingizwa kwenye payroll ya "Lumumba Buku 7".Beberu ni huyu hapa chini
Jikite kwenye hojaMwalimu naona unapambana sana kuingizwa kwenye payroll ya "Lumumba Buku 7".
Mbona uwalimu ni " noble proffession", ninyi maticha wa Tz CCM inawakwamisha na daily ni kulalamika lakini bado mnaikumbatia.
Ndo muwakabidhi hadi wake zenu hukohukoKwani CCM haipokei pesa za mabeberu? Na mnajinasibu wazi Deni ni himilivu. Lol
Hapo hoja ni kwa nini unaungana na mtesi wako wewe mwalimu kumbagaza mtetezi wa haki zako kwa propaganda za uongo wa wazi!!??Jikite kwenye hoja
Siku hizi mnalipwa ngapi hapo Lumumba? Ni ile ile Buku 7 au imeongezeka?Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
Nenda Polisi kama una ushahidiMambo vipi muuwaji
Baada ya kumdedisha mpishi
Now mmemfunga balozi mnawaza mumpolepole au kesi ya uhaini
Kwahyo mmeamua mkabidhi na wake na watoto wenu hukohuko kwa mabeberuHapo hoja ni kwa nini unaungana na mtesi wako wewe mwalimu kumbagaza mtetezi wa haki zako kwa propaganda za uongo wa wazi!!??
Hao nao si mmewateka?Nenda Polisi kama una ushahidi
Umepost nini hichoHao nao si mmewateka?
Ndugai
Polepole
Jenister
Lukuvi
Now balozi?😁
KWENDAAAA MBWA WEWEUmepost nini hicho
Mbona unakuwa mbogo mkuuKWENDAAAA MBWA WEWE
Hao unaowapambania, watoto wao wana uraia wa huko kwa mabeberu, wao wenyewe wengine ni raia wa mabeberu, vyoo unavyotumia hapo shuleni si ajabu ni msaada wa beberu.Kwahyo mmeamua mkabidhi na wake na watoto wenu hukohuko kwa mabeberu
Wekeni ushahidi pelekeni kwa CAG na msajili wa vyama vya siasa then CHADEMA ifutwe.Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa?
Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu