Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

⭐🌙 hufikiri vita ndiyo njia sahihi kwao kumbe wanajidanganya. Kulikuwa kuna faida gani wapalestina kufanya tukio la October 7?

Nchi ishakuwa magofu, Gaza ishakuwa dampo haitamaniki tena

Lebanon nayo inataka kuwaingiza wananchi wake kwenye majanga. Hao Hezbollah wakiona mambo yamekuwa magumu wanakimbia wanabaki wananchi wanateseka.

Yemen nao kwa Houthi wanajikanyaga tu.

⭐🌙 Wanachekesha sana yaani Iran, Yemen, Gaza na Lebanon wanapambana na Israel na bado wanapwaya.
Taifa la Israel lilikuwepo kabla ya ujio wa Quran, uislamu na wapalestina kwahiyo kuifuta Israel ni kujidanganya
 
Hao jamaa wanachekesha sana.. Wakiwa wanasumbua wanapiga kimya IDF wakijibu wanalalama.. Kwa sasa kila mjinga anafikiwa in the mater of minutes.

‘No point too far for us to attack’: Israeli Air Force commander​

Israeli Air Force Commander Tomer Bar has said dozens of aircrafts are “prepared and ready in a matter of minutes, for any scenario, in any arena,” as tensions rise with Lebanon and Iran.
Bar said Israel was in the midst of “the longest war in our history since the War of Independence” and that the killings of a Hezbollah and a Hamas official in Beirut and Tehran had been a “message”.
“This is another message to our enemy in the entire Middle East – we will act against anyone who plans to harm the citizens of the State of Israel, there is no point that is too far for us to attack,” he said in a statement.
 
Hao Lebanon sio hizbollah, kesho nasrallah anatoa hotuba tujue shughuli tunaianzia wapi
Hivi nyinyi Waislamu hamjiulizi tu kwani kila njama zenu za kufutilia mbali uyahudi na ukiristo zinagonga mwamba na mnapukutika tu? Ibrahim Raisi na Waziri wake wa mambo ya nje, kwishne wakiwa wameikamia Israel, jana namba two wa Nasralah wa Hezibulah kwishne na leo Haniyah wa Kamasi kwishne sent to meet 72 virgins. Either, yale maandiko yenu ya Quran ya kuangamiza Israel, Mohammad alijitungia mwenyewe au kama yalitoka kwa Allah, basi huyo Allah siyo mungu wa kweli
Screenshot_20240731-142828_Chrome.jpg
 
View attachment 3058026
Safi sana Mkuu.
 
Hao waliopukutika ni watu tu usipate hofu kama mtume kafa sisi akina nani? Ili turudi nyuma ipukutishe Quran kwanza kama utaweza. Na mlishashindwa kuibadili angalau mungeweka tu mistari twa kutudhoofisha ila hii ngoma aidha wakubali au masihi arudi
 
Inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu na kupitwa na kile kinaendelea sasa Duniani. Quran imeisha bainika ni takataka with lots of contradictions. Tatizo nyinyi Waislamu hamsomi na kuielewa Quran yenu na hadithi zake. Mfano ktk Al-Isra 17:1 hapo Allah asema Glory be to the one who sent Mohammad... sasa jiulize kumbe yuko muumba ambaye yuko juu zaidi ya Allah
Screenshot_20240801-110259_Chrome.jpg
 
wakiristo wa Jf naona mnafuraha sana
Tunafurahi kwakuwa vile vikundi vinavyo tuteka na kutuuliza kama ni Wakristo na tukikubali vinatuua vinapunguzwa nguvu na kuishia kumalizwa kabisa.
Bila Wazungu na Waisraeli kuvidhibiti tungemalizwa kabisa.
Mfano.
Mauaji ya Chuo cha Garissa Kenya.
Muslim wote waliotekwa waliachiwa, Christian walioshindwa kukariri Surat-Fatiha, wote walipigwa risasi.
Na wafadhiri Wakuu ndio hao Irani na jamaa zake.
Je wewe ingekuwa sisi usingefurahi ?
 
Hata vita vya1 na vya 11 waanzishi waislam, hata Rwanda maimam walihusika katika mauaji. unasemaje hapo PADRI?
 
Back
Top Bottom