Acha tubaki mbumbumbu lakini hatutapangiwa na mtu kuhusu dini yetu na kesho yetuInaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu na kupitwa na kile kinaendelea sasa Duniani. Quran imeisha bainika ni takataka with lots of contradictions. Tatizo nyinyi Waislamu hamsomi na kuielewa Quran yenu na hadithi zake. Mfano ktk Al-Isra 17:1 hapo Allah asema Glory be to the one who sent Mohammad... sasa jiulize kumbe yuko muumba ambaye yuko juu zaidi ya Allah
View attachment 3058417
Inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu na kupitwa na kile kinaendelea sasa Duniani. Quran imeisha bainika ni takataka with lots of contradictions. Tatizo nyinyi Waislamu hamsomi na kuielewa Quran yenu na hadithi zake. Mfano ktk Al-Isra 17:1 hapo Allah asema Glory be to the one who sent Mohammad... sasa jiulize kumbe yuko muumba ambaye yuko juu zaidi ya AllahHao waliopukutika ni watu tu usipate hofu kama mtume kafa sisi akina nani? Ili turudi nyuma ipukutishe Quran kwanza kama utaweza. Na mlishashindwa kuibadili angalau mungeweka tu mistari twa kutudhoofisha ila hii ngoma aidha wakubali au masihi arudi
Acha tubaki mbumbumbu lakini hatutapangiwa na mtu kuhusu dini yetu na kesho yetu
Hiyo surat-fatiha inasemaje ili hawa wafuasi wa shetani wakiniteka niwe nimeikariri.Tunafurahi kwakuwa vile vikundi vinavyo tuteka na kutuuliza kama ni Wakristo na tukikubali vinatuua vinapunguzwa nguvu na kuishia kumalizwa kabisa.
Bila Wazungu na Waisraeli kuvidhibiti tungemalizwa kabisa.
Mfano.
Mauaji ya Chuo cha Garissa Kenya.
Muslim wote waliotekwa waliachiwa, Christian walioshindwa kukariri Surat-Fatiha, wote walipigwa risasi.
Na wafadhiri Wakuu ndio hao Irani na jamaa zake.
Je wewe ingekuwa sisi usingefurahi ?
Pia waliuwa vijana wetu wawili, sitasahau Gd bless ISRAELTunafurahi kwakuwa vile vikundi vinavyo tuteka na kutuuliza kama ni Wakristo na tukikubali vinatuua vinapunguzwa nguvu na kuishia kumalizwa kabisa.
Bila Wazungu na Waisraeli kuvidhibiti tungemalizwa kabisa.
Mfano.
Mauaji ya Chuo cha Garissa Kenya.
Muslim wote waliotekwa waliachiwa, Christian walioshindwa kukariri Surat-Fatiha, wote walipigwa risasi.
Na wafadhiri Wakuu ndio hao Irani na jamaa zake.
Je wewe ingekuwa sisi usingefurahi ?
Wayemeni wengi hawawapendi Houthi wanasubiri wasaidiwe ili kuwatoa Wahouthi.Yemen nao kwa Houthi wanajikanyaga tu.
🤣🤣Tena?BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa
Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
Hao mimi hawanihusu.Hata vita vya1 na vya 11 waanzishi waislam, hata Rwanda maimam walihusika katika mauaji. unasemaje hapo PADRI?
Ndio sura ya kwanza ya Qurani, mimi nishaikariri kwa Kiarabu.Hiyo surat-fatiha inasemaje ili hawa wafuasi wa shetani wakiniteka niwe nimeikariri.
Tell themHivi nyinyi Waislamu hamjiulizi tu kwani kila njama zenu za kufutilia mbali uyahudi na ukiristo zinagonga mwamba na mnapukutika tu? Ibrahim Raisi na Waziri wake wa mambo ya nje, kwishne wakiwa wameikamia Israel, jana namba two wa Nasralah wa Hezibulah kwishne na leo Haniyah wa Kamasi kwishne sent to meet 72 virgins. Either, yale maandiko yenu ya Quran ya kuangamiza Israel, Mohammad alijitungia mwenyewe au kama yalitoka kwa Allah, basi huyo Allah siyo mungu wa kweli
View attachment 3058026
Vyombooo vimetua toka usa balaaaBBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa
Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
🤣🤣Ndio sura ya kwanza ya Qurani, mimi nishaikariri kwa Kiarabu.
Naichapa yote na zingine.
Hiyo sura Allah anasali.
Anasema
"Wewe tu tunakuabudu na wewe tu tunakuomba msaada
Tuongoze katika njia iliyonyoka"
Na sijuia anasali kwa nani
Sijabjibiwa hadi hii leo.
Na maneno mengine.
Noma sn🤣🤣Inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu na kupitwa na kile kinaendelea sasa Duniani. Quran imeisha bainika ni takataka with lots of contradictions. Tatizo nyinyi Waislamu hamsomi na kuielewa Quran yenu na hadithi zake. Mfano ktk Al-Isra 17:1 hapo Allah asema Glory be to the one who sent Mohammad... sasa jiulize kumbe yuko muumba ambaye yuko juu zaidi ya Allah
View attachment 3058417
🤣🤣🤣Hiyo surat-fatiha inasemaje ili hawa wafuasi wa shetani wakiniteka niwe nimeikariri.
Kwakuwa umefurahi ngoja nikupe hiyo sura inavyo sema.
Aiseee 🤔Kwakuwa umefurahi ngoja nikupe hiyo sura inavyo sema.
Katika Qurani ukiona Neno "Sema" jua kuwa hapo anaongea Muhamadi.
Kama hapa.
قُلْ مَا كُنتُ بِدْعًا مِّنَ الرُّسُلِ وَمَا أَدْرِي مَا يُفْعَلُ بِي وَلَا بِكُمْ ۖ إِنْ أَتَّبِعُ إِلَّا مَا يُوحَىٰ إِلَيَّ وَمَا أَنَا إِلَّا نَذِيرٌ مُّبِينٌ
[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
........
Ukiona hakuna neno Sema ujue kuwa hayo ni maneno ya Allah watabarak au Majini.
Kama hapa
وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ ۖ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَـٰئِكَ تَحَرَّوْا رَشَدًا
(AL - JINN - 14)
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu. (hapa yanaongea Majini na hayaambiwi "Sema"
Hiyo sura yote yanaongea Majini tu. Na hayaongei popote pengine ila katika Sura yao ya Majini.)
Sura ya Fatiha ndio hii
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ
(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ
(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ
(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ
(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
...............
Katika Qurani ni Allah na Majini tu ndio wanaongea kwa kutumia nafsi ya uwingi kama (sisi) (tuna)
Muhammadi ni mmoja na Jibrili ni mmoja hawawezi kusema (sisi)
..........
Hapa anaongea Allah
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
.............
Ukiwauliza Waislamu hiyo Surat Fatiha na hapo kwenye hiyo Aya moja ya Surat ya AL-MAA'RIJ kuwa
Ni nani anaongea hutajibiwa hadi kiyama.
Ukiyauliza hayo maswali huko Somalia utaishia kukatwa kichwa kwa kuikashifu Dini na Qurani.
......
Ukiwauliza hapa anayeongea ni nani katu huwezi kujibiwa.
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
....
Hao akina "nasi" ni nani waliomtuma Mtume huku Mungu akishuhudia?
Asante Sana, chukua hatua.Aiseee 🤔
Mkuu kuna huu utata mwingine kwenye Al-Isra 17:1Kwakuwa umefurahi ngoja nikupe hiyo sura inavyo sema.

JibuMkuu kuna huu utata mwingine kwenye Al-Isra 17:1
View attachment 3058892