Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Lazima ukatae sababu wengine hawana uchungu ni kupanga tarehe na dokta mtoto sekunde unaye. Technology mkuu. Sasa hii ya kukwangua mleta mada kaongeza chumvi
Natetea kwa sababu yeye ndo mwanaume anayefanya hayo aliyoyasema, n sawa na ww mwanamke useme unazaa kwa uchungu afu mm nikatae wakat ww ndo mwanamke
 
Unaona sasa
Tunaishi humu
 
Kuna mtaalamu mmoja humu jf alisemaga eti ukimweka demu doggystyle utaona kuna utofauti pale kwenye malinda
N kweli ila sio kwa wote, uwazi n kwa wale walioharibika sana, ila kuna wale wanaogusa kimtindo hvy wanaweza wasiwe na uwazi.

Kingine, demu hata akiwa sio mtoaji wa nyuma lkn siku hiyo ukamkojoza vzr n lazima sehemu ya nyuma itatanuka kdg / misuli ya nyuma ina-relax hvy unaweza kuona uwazi ila sio mkubwa.
 
Ukitaka kupata mawazo ya ukweli ya mwanamke kuhusu mahusiano. Angalia jinsi anataka kaka yake au mtoto wake wa kiume awe kwenye nafasi gani.

Hii misemo ya kitanda hakizai haramu, past doesn't matter, single mother wanayajua maisha n.k huwa wanaiunga mkono ikiwa applicable kwa wanaume wa familia nyingine. Lakini situation hiyo imkute kaka au mtoto wake wa kiume lazima moto uwake
 
Hayo maswali/madodoso huwa nia ni kuwavuruga waungwana.Waacheni watu waishi kadiri ya chaguzi zao.Nanyi muendelee aidha na suluhu bin suluhu zenu(0-0)au mfungane kwa mashuti ya mbali.
Tatizo wakipigwa matukio wanakuja kutusumbua, na hatuwezi kuwatupa kwa sababu ni washkaji na ndugu zetu. Kwahiyo sisi kama wabebaji watarajiwa wa majanga yao tunawajibika kutoa onyo mapema
 
Mmh wanawake wa Dar na ukanda wa pwani wanajikuta sana na wanawapiga Limbwata vidume...
Inawezekana aisee, mana kwa akili ya kawaida sio rahisi mwanaume kuwa na akili hizo

Na bado mwanamke anatoka nje anarudi usiku sana, mtapigana hapo, mtatukanana Ila bado jamaa amekaza tuu πŸ™Œ
 
We jamaa unaweza kufanya watu kupata shida za kisaikolojia. Ila speaking from experience, mwanamke hua hawezi kumnyima mzazi mwenzie labda mwanamme asiwe interested na asitengeneze kabisa mazingira ya kumla mzazi mwenzie au sijui wawe waliachana kwa ugomvi mzito level ya world wari. Ni kama vile mwanammke always anahitaji kuprove kwamba ningeweza kuwa mkeo na maisha ya ndoa yakanyooka, so uki show interest anahisi ndo umerudi mtimize ndoto zake.
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…