Kwahiyo Mwanasheria wa Yanga SC Patrick Simon muda wote ulikuwa hujui kuwa Nyaraka za Yanga SC zimegushiwa hadi Hukumu ya Mahakama ilipotoka Juzi?

Mkuu, kesi ile imeendeshwa upande mmoja. Mbona jana kaelezea vizuri tu.
 
Yule jamaa hajawahi kushinda kesi yeyote.
Na anakiaibisha mno hata Chuo Kikuu alichosomea na sidhani kama angesomea SAUT Mwanza ( The Genius University ) ambako Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nimesoma hapo angekuwa hopeless ( dunduka ) kiasi hiki.
 
Nawewe unamwamini? Kwanza sisi tulichotaka kujua ni kama auongozi wa hersi upo kwa mujibu wa katiba au haupo kikatiba, baasi. Hayo mapungufu ya kimchakato hayajibu kesi ya msingi.
Hersi kwani kawa raisi wa Yanga jana? Kwanini hii kesi iibuke sasa? Siku zote walikuwa wapi? Basi ikiwa ni kweli uongozi wa sasa haupo kisheria ina maana hata TFF hawapo makini kwa kuiacha timu inaendeshwa na viongozi waliyovunja katiba! Tuweni serious kidogo, kuna watu wanatafuta jambo na in shaa Allah watalipata.
 
Unataka kujua kama nani wewe kolo
 
Hersi kwani kawa raisi wa Yanga jana? Kwanini hii kesi iibuke sasa? Siku zote walikuwa wapi? Basi ikiwa ni kweli uongozi wa sasa haupo kisheria ina maana hata TFF hawapo makini kwa kuiacha timu inaendeshwa na viongozi waliyovunja katiba! Tuweni serious kidogo, kuna watu wanatafuta jambo na in shaa Allah watalipata.
Jibuni swali la msingi. Hersi yupo kikatiba au kitapeli? over.
 
Back
Top Bottom