Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

Binafsi nina experience sio nzuri na wafia dini.. ni watu wamejaa unafki sanaa, wanajifanya kupinga pombe wakati wao wanafanya usengenyaji, uongo, unafiki, uzinzi nkโ€ฆ dhambi ni dhambiโ€ฆ ukikemea kemea zote
Wengine wanasema eti hawawezi kusikiliza nyimbo za kidunia utadhani yesu alishaga ingia studio kutoa ngoma.

Wanajionaga perfect utadhani ikifika jioni wanaenda kulala mbinguni, kukikucha ndio wanakuja kutusumbua sie walimwengu.

PIA SOMA: Nauza spea used za magari haya kwenye picha
 
Wengine wanasema eti hawawezi kusikiliza nyimbo za kidunia utadhani yesu alishaga ingia studio kutoa ngoma.

Wanajionaga perfect utadhani ikifika jioni wanaenda kulala mbinguni.
Huyu mtu wa hivi namjua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Na akisikiliza kwa bahati mbaya/ maybe eneo ambalo hawezi waambie wabadilishe basi lazima atafanya detox na gospel ili zile za kidunia zimtoke masikioni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ