Naunga mkono hojaKuanzisha uzi dhidi ya wapiga gambe ni kujitafutia matatizo, inaashiria upungufu wa IQ na umasikini uliokithiri.
Walokole tumeamkiwa leo
Walokole tumeamkiwa leo
Wapumbavu sana wanajifanya wao ni manaibu malaikaMmedandia mtumbwi wa vibwengo kuitaja pombe😁
Ujinga ni kutaka dini ikutawale utadhan wewe ni mkolinthoNi kama wasabato wanavyowashambulia wasiosali jumamosi, wanawaona watenda dhambi huku wao wakiona kusali jumamosi ndo utakatifu
Ni watu wanaojihesabia mazuri tu na dhambi zote ni kwa wengine, ni watu wanafiki sana
Hao jamaa wanajiona wao kama ni deputy JesusUjinga ni kutaka dini ikutawale utadhan wewe ni mkolintho
Tatzo ni pale kanisa lilipoamua kuwa na wafia dini na sio watetea Iman ya kweliHao wainjilisti wa KKKT ni matapeli tu. Mbona mapadre wa Roman Catholic wanapiga hadi konyagi na haijawahi kuwa shida? Wao wanatumia biblia gani kuhubiri injili?
Hili swala la pombe; usipojifunza kwa makosa ya wenzako, utajifunza kwa makosa yako. Tunakutakia unywaji mwema.Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe hiyo kwa sala.
Mwinjilisti aliposimama, badala ya kuomba na kufungua sherehe, alianza kuhutubia akidai hawezi kufungua sherehe ambayo ina pombe. Wote tulishangaa hoja ya Mwinjilisti yule, maana ni Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT.
Kanisa la KKKT si linajulikana ndani yake wamo walevi. Je, kwa nini hamkatai sadaka zao? Mbona hao walevi kanisani mnawaruhusu kushiriki meza ya Bwana? Halafu huku nje mnataka kujifanya wa kiroho zaidi.
Kama kweli hamfungamani na pombe, basi tunaomba uongozi wa KKKT Taifa utoe mwongozo wa kuwazuia walevi kuingia kanisani mwao ili wakajue wapi pa kuabudu. Vinginevyo mnawagawa waumini wenu.
Ijulikane kuwa mimi situmii pombe na wala siungi mkono ulevi.
Walevi woooote motoniKuanzisha uzi dhidi ya wapiga gambe ni kujitafutia matatizo, inaashiria upungufu wa IQ na umasikini uliokithiri.
Usihukumu kabla hujahukumiwa, kikombe wanachokinywea ndicho utakinywea.Walevi woooote motoni
.. ila dhambi inatokana na kuzidisha kiwango cha unywaji,Kunywa pombe sio dhambi
Na Yesu fundi, alitengeneza pombe yenye ubora wa hali ya juu watu walikunywa wakachangamkaYesu mwenyewe alishatengeneza pombe kwenye harusi......
Huna hoja mkuu:Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe hiyo kwa sala.
Mwinjilisti aliposimama, badala ya kuomba na kufungua sherehe, alianza kuhutubia akidai hawezi kufungua sherehe ambayo ina pombe. Wote tulishangaa hoja ya Mwinjilisti yule, maana ni Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT.
Kanisa la KKKT si linajulikana ndani yake wamo walevi. Je, kwa nini hamkatai sadaka zao? Mbona hao walevi kanisani mnawaruhusu kushiriki meza ya Bwana? Halafu huku nje mnataka kujifanya wa kiroho zaidi.
Kama kweli hamfungamani na pombe, basi tunaomba uongozi wa KKKT Taifa utoe mwongozo wa kuwazuia walevi kuingia kanisani mwao ili wakajue wapi pa kuabudu. Vinginevyo mnawagawa waumini wenu.
Ijulikane kuwa mimi situmii pombe na wala siungi mkono ulevi.
Unashangaza kweli kama ingekuwa heli kama ni makanisa Yale ya kipentekoste ningemuunga mkono Mwinjilist lakini kwa KKKT na Rc wahumini wao wanajulikana ni walevi pure ila kwasababu ya mashindano ndani ya hayo makanisa ndo vikaibuka vikundi vya wanaojiita Wana maombi (fellowship) na kwa roman kipo kikundi kinajiita KarismaticHuna hoja mkuu:
Pombe inajulikana kuwa chanzo cha maovu, wakristo tumekatazwa kutenda maovu au basi kukaa katika mazingira hayo, sawa sawa na Zaburi 1:1-3, Na maandiko yanasema fanyeni kila jambo kwa utukufu wa Mungu, Mwinjilisti kama mtumishi wa Mungu hakuona na hizo pombe zinaleta utukufu kwa Mungu.
Kuwataka et walevi wasije kanisani hiyo maagizo ya Yesu, wazinzi, majambazi, wasengenyaji, waongo, wasingiziaji wote kanisani wanakuja na sadaka wanatoa na wanahubiriwa kuyaacha hayo, kumbuka suala la kubadilika ni jambo la mtu binafsi.
Kwahiyo senario yako huyo Mwinjilisti ndio alikuwa mlezi wa hao wanandoa kiroho hivyo alikuwa sahihi maana naamini hata katika mafundisho aliwaonya kuhusu pombe, angewazaje kubariki sherehe ikiwa ina pombe alizowakataza?
Kwani hao KKKT wanatumia Bibilia tofauti na hao wapentekosti?Unashangaza kweli kama ingekuwa heli kama ni makanisa Yale ya kipentekoste ningemuunga mkono Mwinjilist lakini kwa KKKT na Rc wahumini wao wanajulikana ni walevi pure ila kwasababu ya mashindano ndani ya hayo makanisa ndo vikaibuka vikundi vya wanaojiita Wana maombi (fellowship) na kwa roman kipo kikundi kinajiita Karismatic
Na hivi vikundi ndivyo vinataka kuyatawala hayo makanisa
Ni kweli si dhambi ila ni kosa.Kunywa pombe sio dhambi