min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huwa ana wivu na hasira kinoumaMungu wenyewe hayupo ana Mishe zake kama sisi tu
Huwa ana wivu na hasira kinoumaMungu wenyewe hayupo ana Mishe zake kama sisi tu
Hahaha 😂, dogo wa 2005 anauponda mvinyo uliotulizana kwenye chupa tangu enzi na enzi.Haina shobo na ipo tangu kale , kiazi mmoja wa 2005 nae anaiponda eti🤔
Tena wapo smart kinouma kkkt wanakunywa kwa siri wasikudanganyeHao wainjilisti wa KKKT ni matapeli tu. Mbona mapadre wa Roman Catholic wanapiga hadi konyagi na haijawahi kuwa shida? Wao wanatumia biblia gani kuhubiri injili?
Tangu enzi na enzi ukitoa maji pombe ndio kinywaji cha kale zaidiHahaha 😂, dogo wa 2005 anauponda mvinyo uliotulizana kwenye chupa tangu enzi na enzi.
Kwa weli heshima imeshuka sana miaka hii.
Mkuu unavyoelezea ni kama ulikuwa unaniona wakati nafanya hivyo.Piga suruali ya kitambaa nyoa uache nywele za katikati za pembeni punguza , kidogo, piga moka safi na kibamba unatafuna jumuiya nzima
Eti kanjanja anaipakazia na kuwaaminisha watu kuwa ni kitu kibaya.Tangu enzi na enzi ukitoa maji pombe ndio kinywaji cha kale zaidi
Wivu tuEti kanjanja anaipakazia na kuwaaminisha watu kuwa ni kitu kibaya.
😂Wivu tu
Mambo ya hovyo yapo mengi waachane na pombe kabisa
Hasa kutombanaBinafsi nina experience sio nzuri na wafia dini.. ni watu wamejaa unafki sanaa, wanajifanya kupinga pombe wakati wao wanafanya usengenyaji, uongo, unafiki, uzinzi nk… dhambi ni dhambi… ukikemea kemea zote
Yesu mwenyewe alishatengeneza pombe kwenye harusi......Mimi ninachojua dhambi ni ULEVI hili suala la POMBE kuwa ni dhambi sijui ndugu zetu Walokole walilitoa wapi hata chupa ya bia baadhi ya Walokole hawashiki kabisa
Mi naona bora wapambane na masuala mtambuka tu.Mambo ya hovyo yapo mengi waachane na pombe kabisa
Naunga mkono hojaMi naona bora wapambane na masuala mtambuka tu.
Sasa ngoja tumsubiri SetfreeNaunga mkono hoja
Waislam hasa wa arabuni ulevi wao ni shisha sigara na bangiNi kama uislamu na kitimoto, wameona kujihusisha na kitimoto na pombe ni dhambi ila uchawi na ushirikina kwao ni sawa tu.
Dhambi ni mawazo yako,maneno yako na matendo yako baada ya kunywa pombe,sasa kama unaweza usitende dhambi baada ya kunywa endelea tu kunywa,ila wengi wamekwazwa na pombe baada ya ulevi kuwaingia...Kunywa pombe sio dhambi
Yes hana jipya zaidi ya kujifunza kitu kutoka katika huu uzi.Hana jipya