Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

Heading inasema Walokole.
Ndani KKKT.
Nani alikusudiwa ha, Walokole au KKKT?
 
Hao wainjilisti wa KKKT ni matapeli tu. Mbona mapadre wa Roman Catholic wanapiga hadi konyagi na haijawahi kuwa shida? Wao wanatumia biblia gani kuhubiri injili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…