Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

Ni kama uislamu na kitimoto, wameona kujihusisha na kitimoto na pombe ni dhambi ila uchawi na ushirikina kwao ni sawa tu.
 
Ni kama uislamu na kitimoto, wameona kujihusisha na kitimoto na pombe ni dhambi ila uchawi na ushirikina kwao ni sawa tu.
Waislam hasa wa arabuni ulevi wao ni shisha sigara na bangi
 
Kunywa pombe sio dhambi
Dhambi ni mawazo yako,maneno yako na matendo yako baada ya kunywa pombe,sasa kama unaweza usitende dhambi baada ya kunywa endelea tu kunywa,ila wengi wamekwazwa na pombe baada ya ulevi kuwaingia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…