Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

Kuanzisha uzi dhidi ya wapiga gambe ni kujitafutia matatizo, inaashiria upungufu wa IQ na umasikini uliokithiri.
 
Ni kama wasabato wanavyowashambulia wasiosali jumamosi, wanawaona watenda dhambi huku wao wakiona kusali jumamosi ndo utakatifu
Ni watu wanaojihesabia mazuri tu na dhambi zote ni kwa wengine, ni watu wanafiki sana
 
Ni kama wasabato wanavyowashambulia wasiosali jumamosi, wanawaona watenda dhambi huku wao wakiona kusali jumamosi ndo utakatifu
Ni watu wanaojihesabia mazuri tu na dhambi zote ni kwa wengine, ni watu wanafiki sana
Ujinga ni kutaka dini ikutawale utadhan wewe ni mkolintho
 
Hao wainjilisti wa KKKT ni matapeli tu. Mbona mapadre wa Roman Catholic wanapiga hadi konyagi na haijawahi kuwa shida? Wao wanatumia biblia gani kuhubiri injili?
Tatzo ni pale kanisa lilipoamua kuwa na wafia dini na sio watetea Iman ya kweli
Yaan sahv hizi dini mbili KKKT na Rc Kuna makundi mawili na hayo makundi yataleta mgawanyiko mkubwa wasipokuwa makini
 
Hili swala la pombe; usipojifunza kwa makosa ya wenzako, utajifunza kwa makosa yako. Tunakutakia unywaji mwema.
 
Kila waamini Wanayo dhambi ambayo kwao ni kubwa kuliko zingine ni Kama mwiko yaani hiyo ndio kama utambulisho wao
Wengine hawali Nguruwe
Wengine ndio hivyo pombe
Wengine ni kupambana na Papa
Wengine kula nyama ya ng'ombe
Imani hii haiwezi ni kumuamini Mungu mmoja. Yaani Mungu akataze huku kuwa na mke zaidi ya mmoja kwingine aseme idadi ni kadri unavyoweza.
Aseme amri kubwa ni Upendo/mpende adui yako halafu kwingine aseme ua kafiri huyo.
Kwa mtazamo huu hizi dini ni za kuziangalia sana
 
Huna hoja mkuu:

Pombe inajulikana kuwa chanzo cha maovu, wakristo tumekatazwa kutenda maovu au basi kukaa katika mazingira hayo, sawa sawa na Zaburi 1:1-3, Na maandiko yanasema fanyeni kila jambo kwa utukufu wa Mungu, Mwinjilisti kama mtumishi wa Mungu hakuona na hizo pombe zinaleta utukufu kwa Mungu.

Kuwataka et walevi wasije kanisani hiyo maagizo ya Yesu, wazinzi, majambazi, wasengenyaji, waongo, wasingiziaji wote kanisani wanakuja na sadaka wanatoa na wanahubiriwa kuyaacha hayo, kumbuka suala la kubadilika ni jambo la mtu binafsi.

Kwahiyo senario yako huyo Mwinjilisti ndio alikuwa mlezi wa hao wanandoa kiroho hivyo alikuwa sahihi maana naamini hata katika mafundisho aliwaonya kuhusu pombe, angewazaje kubariki sherehe ikiwa ina pombe alizowakataza?
 
Reactions: 1gb
Unashangaza kweli kama ingekuwa heli kama ni makanisa Yale ya kipentekoste ningemuunga mkono Mwinjilist lakini kwa KKKT na Rc wahumini wao wanajulikana ni walevi pure ila kwasababu ya mashindano ndani ya hayo makanisa ndo vikaibuka vikundi vya wanaojiita Wana maombi (fellowship) na kwa roman kipo kikundi kinajiita Karismatic
Na hivi vikundi ndivyo vinataka kuyatawala hayo makanisa
 
Kwani hao KKKT wanatumia Bibilia tofauti na hao wapentekosti?

Kwani una uhakika huko pentecoste hakuna walevi, wazinzi, wasengenyaji, waasherati nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…