Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Kosa= dhambiNi kweli si dhambi ila ni kosa.
Kosa= dhambiNi kweli si dhambi ila ni kosa.
Kuna mzani gani uliotumia hadi ukaona wanaona pombe ni dhambi kubwa kuliko zote?Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe hiyo kwa sala.
Mwinjilisti aliposimama, badala ya kuomba na kufungua sherehe, alianza kuhutubia akidai hawezi kufungua sherehe ambayo ina pombe. Wote tulishangaa hoja ya Mwinjilisti yule, maana ni Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT.
Kanisa la KKKT si linajulikana ndani yake wamo walevi. Je, kwa nini hamkatai sadaka zao? Mbona hao walevi kanisani mnawaruhusu kushiriki meza ya Bwana? Halafu huku nje mnataka kujifanya wa kiroho zaidi.
Kama kweli hamfungamani na pombe, basi tunaomba uongozi wa KKKT Taifa utoe mwongozo wa kuwazuia walevi kuingia kanisani mwao ili wakajue wapi pa kuabudu. Vinginevyo mnawagawa waumini wenu.
Ijulikane kuwa mimi situmii pombe na wala siungi mkono ulevi.
Mkuu umeongea ukweli 💯 %. Unaona mbali sana. Agiza supu ya pweza nakuja kulipa. Sasa hivi kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya makanisa haya: wanufaikaji na wasotaji.Tatzo ni pale kanisa lilipoamua kuwa na wafia dini na sio watetea Iman ya kweli
Yaan sahv hizi dini mbili KKKT na Rc Kuna makundi mawili na hayo makundi yataleta mgawanyiko mkubwa wasipokuwa makini
Hii divai mbona makasisi na mapadre wanakunywa sana? Ina maana wao sio waamini? Acheni upotoshaji kwa kutumia maandiko ya mchongo.Walokole wote
Hatutaacha kusema ukweli huu wa Biblia.
Tena hii ni kwa kiswahili cha kisasa..
"Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti, wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang'anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu. "
1 Wakorintho 6:9-10
"Acheni kulewa divai maana hiyo itawaangamiza, bali mjazwe Roho Mtakatifu. "
Waefeso 5:18
HUO NI UKWELI WA BIBLIA NA BIBLIA HAINA DHEHEBU.
Neno halina upendeleo,Hii divai mbona makasisi na mapadre wanakunywa sana? Ina maana wao sio waamini? Acheni upotoshaji kwa kutumia maandiko ya mchongo.
Kunywa juice bwasheeKosa= dhambi
🚮Neno halina upendeleo,
Yeyote anae fanya hivyo kwa kujifurahisha katika ulevi yu angukia katika kundi moja la Kuvuna watakachopanda.
Na chanzo cha ulevi ni nini?Ulevi (pombe) ndo chanzo cha dhambi nyinginezo..
Biblia inaonya mara nyingi juu ya matumizi ya kileo, hasa kuhusu ulevi na madhara yake. Maandiko kama Waefeso 5:18 na Methali 23:29-35 yanakataza ulevi na kuhimiza kujizuia. Wakristo wanapaswa kuepuka chochote kinachoweza kuwatawala au kuwafanya wengine wajikwae (1 Wakorintho 6:12; 8:9-13). Ingawa divai inatajwa kama baraka katika Zaburi 104:15 na Amosi 9:14, matumizi yake yanapaswa kuwa ya kiasi na kwa hekima. Hali hii inadhihirika pia kwa mfano wa Yesu aliyebadilisha maji kuwa divai (Yohana 2:1-11), na ushauri wa Paulo kwa Timotheo kutumia divai kidogo kwa sababu za kiafya (1 Timotheo 5:23).Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe hiyo kwa sala.
Mwinjilisti aliposimama, badala ya kuomba na kufungua sherehe, alianza kuhutubia akidai hawezi kufungua sherehe ambayo ina pombe. Wote tulishangaa hoja ya Mwinjilisti yule, maana ni Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT.
Kanisa la KKKT si linajulikana ndani yake wamo walevi. Je, kwa nini hamkatai sadaka zao? Mbona hao walevi kanisani mnawaruhusu kushiriki meza ya Bwana? Halafu huku nje mnataka kujifanya wa kiroho zaidi.
Kama kweli hamfungamani na pombe, basi tunaomba uongozi wa KKKT Taifa utoe mwongozo wa kuwazuia walevi kuingia kanisani mwao ili wakajue wapi pa kuabudu. Vinginevyo mnawagawa waumini wenu.
Ijulikane kuwa mimi situmii pombe na wala siungi mkono ulevi.
Sisi tukinywa nyie inanihusu nini?Biblia inaonya mara nyingi juu ya matumizi ya kileo, hasa kuhusu ulevi na madhara yake. Maandiko kama Waefeso 5:18 na Methali 23:29-35 yanakataza ulevi na kuhimiza kujizuia. Wakristo wanapaswa kuepuka chochote kinachoweza kuwatawala au kuwafanya wengine wajikwae (1 Wakorintho 6:12; 8:9-13). Ingawa divai inatajwa kama baraka katika Zaburi 104:15 na Amosi 9:14, matumizi yake yanapaswa kuwa ya kiasi na kwa hekima. Hali hii inadhihirika pia kwa mfano wa Yesu aliyebadilisha maji kuwa divai (Yohana 2:1-11), na ushauri wa Paulo kwa Timotheo kutumia divai kidogo kwa sababu za kiafya (1 Timotheo 5:23).
Hivyo, maandiko hayakatazi moja kwa moja matumizi ya kileo, lakini yanapinga matumizi mabaya na ulevi. Mkristo anapaswa kutumia kileo kwa kiasi, ikiwa hatasababisha madhara kwake au kwa wengine. Hata hivyo, kwa sababu ya hatari ya ulevi, kukwaza wengine, na kushindwa kujizuia, ni busara kwa Mkristo kujiepusha kabisa na matumizi ya kileo
.
Wewe nae sio mlokole pita ivi ♻️ bana,Biblia inaonya mara nyingi juu ya matumizi ya kileo, hasa kuhusu ulevi na madhara yake. Maandiko kama Waefeso 5:18 na Methali 23:29-35 yanakataza ulevi na kuhimiza kujizuia. Wakristo wanapaswa kuepuka chochote kinachoweza kuwatawala au kuwafanya wengine wajikwae (1 Wakorintho 6:12; 8:9-13). Ingawa divai inatajwa kama baraka katika Zaburi 104:15 na Amosi 9:14, matumizi yake yanapaswa kuwa ya kiasi na kwa hekima. Hali hii inadhihirika pia kwa mfano wa Yesu aliyebadilisha maji kuwa divai (Yohana 2:1-11), na ushauri wa Paulo kwa Timotheo kutumia divai kidogo kwa sababu za kiafya (1 Timotheo 5:23).
Hivyo, maandiko hayakatazi moja kwa moja matumizi ya kileo, lakini yanapinga matumizi mabaya na ulevi. Mkristo anapaswa kutumia kileo kwa kiasi, ikiwa hatasababisha madhara kwake au kwa wengine. Hata hivyo, kwa sababu ya hatari ya ulevi, kukwaza wengine, na kushindwa kujizuia, ni busara kwa Mkristo kujiepusha kabisa na matumizi ya kileo
.
Na pepsi baridi bwashweeKunywa juice bwashee
FUATA MAELEKEZO, SIO MATENDO YAO.Nakumbuka mwaka fulani hapo jijini Dar, nikitokea pande za UDSM Mlimani nilipofika Ubungo nikakuta kusanyiko kando ya barabara na kujongea kusikiliza. Alikuwa muhubiri (sijui Nabii au Mtume) akijitahidi kutoa neno na mafundisho mbalimbali ya kiimani. Alijikita zaidi kuelezea ubaya wa Freemansons, nk. huku msaidizi wake akitoa picha za vielelezo. Niliganda pale kwa muda mrefu huku nikisikiliza na kisha niliondoka baada ya kupokea neno. Baadaye majira ya saa 2 usiku katika pitapita zangu pale Zambezi Bar (Riverside) niliamua kupata moja bariiidi. Cha kushangaza nikamuona muhubiri yuleyule niliyemuona mchana ubungo akiwa na msaidizi wake na meza yao imesheheni 'vyombo'. Nilimuita yule msaidizi na kumuuliza: "Bro, niliwaona mchana mkihubiri neno, sasa mbona hapa mnakula 'vyombo'..? Dogo akaniambia: "Kaka, potezea tu, hapa ni mjini na maisha ndo haya." Duh, nilichoka!
Na nyie Kobazi mlioma Nguruwe ndo dhambi kubwa kuliko zote!?Salamu kwa wanajukwaa wote.
Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe hiyo kwa sala.
Mwinjilisti aliposimama, badala ya kuomba na kufungua sherehe, alianza kuhutubia akidai hawezi kufungua sherehe ambayo ina pombe. Wote tulishangaa hoja ya Mwinjilisti yule, maana ni Mwinjilisti wa Kanisa la KKKT.
Kanisa la KKKT si linajulikana ndani yake wamo walevi. Je, kwa nini hamkatai sadaka zao? Mbona hao walevi kanisani mnawaruhusu kushiriki meza ya Bwana? Halafu huku nje mnataka kujifanya wa kiroho zaidi.
Kama kweli hamfungamani na pombe, basi tunaomba uongozi wa KKKT Taifa utoe mwongozo wa kuwazuia walevi kuingia kanisani mwao ili wakajue wapi pa kuabudu. Vinginevyo mnawagawa waumini wenu.
Ijulikane kuwa mimi situmii pombe na wala siungi mkono ulevi.
Wewe nae sio mlokole pita ivi ♻️ bana,
Waache walokole wakae siti za mbele.
Wewe wa kunywa kiasi usilewe ni walewale tu.
1 Kor 6:9-10
Walevi hawata ingia Mbinguni