FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Suala sio tu kupiga kwenye unyayo, suala ni kiasi cha nguvu alichotumia kana kwamba anataka kumuua mtoto wa watuKatika kupitia pitia nyuzi mbalimbali kuhusu sakata hili sijaona aliyetoa sababu za kitaalam za kwanini ni hatari kumchapa mtoto kwwnye nyayo ni hatari kuliko mkononi na matakoni. Na kwanini imfanye mwalimu afukuzwe kazi kwa jambo hilo. Si kama naunga mkono jambo lile hapana. Nahitaji sababu za kitaalam tu. Povu ruksa.
Inaonekana wewe ni mwalimu. Maelezo yako yanaashiria kutetea tendo hilo; haiyumkini na wewe unawapa wanafunzi wako adhabu za namna hii au zinazofanana na hizi! Waliopendekeza adhabu kwa watoto mashuleni hawakuamua adhabu hizo pasipo kufanyia utafiti jambo hilo. Ilithibitika maeneo salama ya kuchapa fimbo mwanafunzi (mtoto) ni mikononi na matakoni. Kuna mtaalam mmoja wa reflexology kutoka huko Mbezi (DSM), anasema mishipa yote ya fahamu ya binadamu imeweka mizizi yake kwenye nyayo. Hivyo ni wazi kumchapa mtoto kwenye nyayo kunaweza kuleta madhara makubwa ikiwa ni pamoja na kuharibu mishipa hiyo! Mtoto anaweza kupooza (permanent paralysis) kutokana na kuathirika kwa mishipa hiyo. Nasikitika yule mama mwenye mtoto aliyeadhibiwa kujitokeza na kusema kuwa mtoto wake anaendelea vizuri; athari zingine huwa zinachukua muda kujitokeza!Katika kupitia pitia nyuzi mbalimbali kuhusu sakata hili sijaona aliyetoa sababu za kitaalam za kwanini ni hatari kumchapa mtoto kwwnye nyayo ni hatari kuliko mkononi na matakoni. Na kwanini imfanye mwalimu afukuzwe kazi kwa jambo hilo. Si kama naunga mkono jambo lile hapana. Nahitaji sababu za kitaalam tu. Povu ruksa.
Ukatili wao nao unakuwa Umefukuzwa.Wakifukuzwa unapata faida gani?
Swali zuri na pia umetoa ushauri mzuri Sana ila uharisia mgumu SanaHuwa najiuliza mwalimu usipochapa anapungukiwa nini?, hapo ndipo ninapowashauri walimu waache kuchapa hakika wataishi vema.
Ninajua kuacha kabisa kuchapa kwa shule zetu hizi kuna athari lakini ni bora kuliko wewe mwalimu kujikuta uko mikonini mwa vyombo vya dola huku ukivuta pumzi ya moto au ukiwindwa na wazazi wa watoto mithili ya pakashume mitaani.
KILA MMOJA ASHINDE MECHI ZAKE
Kipi kizuri, usichape uwe salama au uchape uwe hatiani?Swali zuri na pia umetoa ushauri mzuri Sana ila uharisia mgumu Sana
Ni hivi inabidi ujue mwalimu ni muajitiwa na pale shuleni yupo chini ya serilaki na shule ka taasisi pia katika majukumu anayopewa ni pamoja na TAALUMA na NIDHAMU kwa wanafunzi sasa utata unaanza kwenye haya majukumu mawili maana yanaenda kwa kutegemeana nikupe mfano wewe mwanao alivyokiwa anaanza chekechea dhumuni lako sililikuwa yeye aende apate elimu(taalum) hii lakini 99.9% ya wazazi kipindi hiki hujikuta wanawachapa fimbo watoto maana watoto wanakuwa hawataki shule kabisa YOU SEE aim yako ni elimu ila unashangaa unafanya jukumu lingine ambalo hukupanga la adhambu hili kumfanya mtoto aende shule hili atimie jukumu kuu....So unaona HAKUNA TAALUMA BILA NIDHAMU (NATURAL ALOGARITHIM) hii ALOGARITHIM ndio inayomtesa mwalimu Leo hii hasa kwenye hizi shule za kimaskini ambazo mazingira yake yalivyo magumu hii ALOGARITHIM ndio imekuwa ngumi zaidi kwa mwalimu.
Unasema mwalimu ajari kusomesha tu Basi lakini NATURE haikubaro Hilo kitu watoto wetu wakimaskini kutimiza Hilo suala super impossible bila kurekebisha nidhamu zao na hao watoto hakuna nji nyengine yoyote hapa Duniani unaweza rekebieha nidhamu zao instant NI FIMBO TU.
Mimi nishawai fundisha shule miezi kadhaa na Ni katika wale walimu HUMBLE sana hila nakuambia kazi ya uwalimu kuwa humble Kuna wanafunzi wanaweza kukutia hata kidole ukiwa unafundisha inagika wakati unajari kifundisha tu watoto wakorofi wanasumbua nyuma kelele inayotengeneza DHARAU kwako unaona inafika point wale wanafunzi wazuri wanawakemea wanafunzi wenzao kwa namna unaona Kama wanakuonea huruma
“Simunyamaze jamani hamuoni mwalimu yupo darsani"
Kuna mifano mingi ila uwalimu kazi fulani sio kazi kwa kifuoi hasa kwa hapa Tz kifupi mwalimu ni mtu anayebebesha zigo la miba.
Hii taaluma inaingiliwa na kuchezewa Sana na baadhi ya makundi ya watu ikiwemo jamii nk proffessional yoyote ile inabidi iheshimishe kwasababu wale walio na hio proffessional ndii wanajua ni Nini na Nini kinafanya kitimiza nini...ningeshauri walimu wajielewe wawe na misimamo Kama professional nyengine Kama madktari nk kwasabu nauhakiki mwalimu hata akimuadhibu mwanafunzi kisheria then yule mwanafunzi akapata madhara yoyote wazazi wa mwanafunzi, jamii, mitandaoni nk itakuwa against na huyo mwalimu yaani mwalimu halindwi akiwa natimiza majukumu yake...WHAT THIS
Jamii inaona mwalimu kuadhibu mtoto Ni Kama ni anapata burudani instead kuona ana rekebisha mtoto.
Naona hujasoma hata nilichoandika aiseeKipi kizuri, usichape uwe salama au uchape uwe hatiani?
Kuna kosa na kosa. Sio kila kosa litapelekea physical torturing ukiwa police... umewahi kuona kwa mfano watu wamekamatwa kwa kosa labda la kujisaidia au kutupa taka, kutukana, kupigana au kupiga, kuvuta bangi au madawa akapigwa kituoni?! Ataguswaguswa kutishwaWatanzia acheni unafki.. mbon hamuwasem Askari wavyo chapa watuhumiwa vituon wakiwa wanapeleleza kesi... ?
Yule kachapia fimbo pale askari anatumia nondo tena kukukandamiza ukubali kosa na ikitokea umeshinda kesi unaenda jiuguza nyumban kwenu...
Waache kuchuma majanga yasiyokuwa yao kwa kumtoa mtu ujinga utakaohatarisha mshahara yao..km haelekei kuelekezwa muache avune ujinga wake maisha yake yote we mwl kula mshahara wako kila mwezi .ya nn kuhangaika na mtt wa mtu akikufia jempwayungu village
Binafsi ninawashauri walimu wote nchini waachane na suala la kuchapa wala kufuatilia kwa kina watoto wa watu.
Mwalimu jikite kufundisha tu, mtoto wa mtu akizingua achana naye, hakikisha masuala yote ya kinidhamu unamwachia mzazi wake atajuana naye huko kwao, hata wakifeli wote wewe hautanyimwa mshahara.
Pia walimu tafuteni kazi nyingine binafsi za kuwawazisha zaidi ili ukose muda wa kutosha wa kumuwaza mtoto wa mwingine, ili ujiepushe na matatizo.
Mchuma janga hula na wakwao.
Kwa mfano akatokea mwanafunzi wa darasa la sita/saba anawalawiti watoto wa darasa lapili/tatu na nne waalimu wampotezee tu???mpwayungu village
Binafsi ninawashauri walimu wote nchini waachane na suala la kuchapa wala kufuatilia kwa kina watoto wa watu.
Mwalimu jikite kufundisha tu, mtoto wa mtu akizingua achana naye, hakikisha masuala yote ya kinidhamu unamwachia mzazi wake atajuana naye huko kwao, hata wakifeli wote wewe hautanyimwa mshahara.
Pia walimu tafuteni kazi nyingine binafsi za kuwawazisha zaidi ili ukose muda wa kutosha wa kumuwaza mtoto wa mwingine, ili ujiepushe na matatizo.
Mchuma janga hula na wakwao.
Ila watanzania tumekuwa wakatili sana, kitoto cha miaka 9 mtu mzima anamkanyagia miguu chini huku anampiga nyayo za miguu na bado wengine wanacheka na ni wanawake waliozaa sijui tumefikaje hapa. Mi mnyama tu kupigwa naumia, siigizi mi siwezi kumchapa eti mbwa au paka sembuse mtoto binadamu kwa style ile. Hapana tumepotoka mno. Babake yule kijana akiona adhabu ile anaweza kumakizana na mwalimu mitaani. Jamani walimu wanawake kwanini mna roho mbaya hivyo? Why? Stress za maisha? Badilikeni nenda nyumba za ibada muombeweKama huoni kosa kucheka kwa mtu mzima wakati mtoto mdogo akifanyiwa unyama basi hakika una walakini ndugu na pengine una tofauti ndogo sana na yule mwalimu mpigaji.
vile vitoto na watu wazima ni vitu tofauti kabisa. Tena umesema wahalifu, wahalifu lazima wapashwe ktk mchakato wa kutafuta ukweli. Na we ni yale yale makatili km lile tukio halijakugusa eti unafiki. Badilika ndugu.Watanzia acheni unafki.. mbon hamuwasem Askari wavyo chapa watuhumiwa vituon wakiwa wanapeleleza kesi... ?
Yule kachapia fimbo pale askari anatumia nondo tena kukukandamiza ukubali kosa na ikitokea umeshinda kesi unaenda jiuguza nyumban kwenu...
Acha kujiapiza kitu kama hiki na kwa namna hii. Hujui huyo mtoto alifanya kosa gani kwa ufupi hujasikia kilichosababisha kupelekea kadhia ile, hujasikia toka upande wowote ule.Mwisho wa yote namsifu mno mzazi wa yule kijana. Ingetokea kwa mwanangu nina yakini pasi na shaka huyo mwalimu angekuwa anafaya shopping ya wheel chair na magongo saa hizi.
Acha arrogance za kjinga kuziita shule za serikali za kimaskini. We umesomea shule gani. Kinachotoa elimu siyo pesa. Tuheshimu shule za serikali ndiyo mali yetu zinajengwa kwa kutumia kodi na tozo mbalimbali. Acheni huu utamaduni wa kipuuzi, viongozi wote unaowaona madarakani wamesoma shule za serikali we umepata kijkibarua mjini waita shule za serikali za kimaskini, acha arrogance za kipuuzi kijanaSwali zuri na pia umetoa ushauri mzuri Sana ila uharisia mgumu Sana
Ni hivi inabidi ujue mwalimu ni muajitiwa na pale shuleni yupo chini ya serilaki na shule ka taasisi pia katika majukumu anayopewa ni pamoja na TAALUMA na NIDHAMU kwa wanafunzi sasa utata unaanza kwenye haya majukumu mawili maana yanaenda kwa kutegemeana nikupe mfano wewe mwanao alivyokiwa anaanza chekechea dhumuni lako sililikuwa yeye aende apate elimu(taalum) hii lakini 99.9% ya wazazi kipindi hiki hujikuta wanawachapa fimbo watoto maana watoto wanakuwa hawataki shule kabisa YOU SEE aim yako ni elimu ila unashangaa unafanya jukumu lingine ambalo hukupanga la adhambu hili kumfanya mtoto aende shule hili atimie jukumu kuu....So unaona HAKUNA TAALUMA BILA NIDHAMU (NATURAL ALOGARITHIM) hii ALOGARITHIM ndio inayomtesa mwalimu Leo hii hasa kwenye hizi shule za kimaskini ambazo mazingira yake yalivyo magumu hii ALOGARITHIM ndio imekuwa ngumi zaidi kwa mwalimu.
Unasema mwalimu ajari kusomesha tu Basi lakini NATURE haikubaro Hilo kitu watoto wetu wakimaskini kutimiza Hilo suala super impossible bila kurekebisha nidhamu zao na hao watoto hakuna nji nyengine yoyote hapa Duniani unaweza rekebieha nidhamu zao instant NI FIMBO TU.
Mimi nishawai fundisha shule miezi kadhaa na Ni katika wale walimu HUMBLE sana hila nakuambia kazi ya uwalimu kuwa humble Kuna wanafunzi wanaweza kukutia hata kidole ukiwa unafundisha inagika wakati unajari kifundisha tu watoto wakorofi wanasumbua nyuma kelele inayotengeneza DHARAU kwako unaona inafika point wale wanafunzi wazuri wanawakemea wanafunzi wenzao kwa namna unaona Kama wanakuonea huruma
“Simunyamaze jamani hamuoni mwalimu yupo darsani"
Kuna mifano mingi ila uwalimu kazi fulani sio kazi kwa kifuoi hasa kwa hapa Tz kifupi mwalimu ni mtu anayebebesha zigo la miba.
Hii taaluma inaingiliwa na kuchezewa Sana na baadhi ya makundi ya watu ikiwemo jamii nk proffessional yoyote ile inabidi iheshimishe kwasababu wale walio na hio proffessional ndii wanajua ni Nini na Nini kinafanya kitimiza nini...ningeshauri walimu wajielewe wawe na misimamo Kama professional nyengine Kama madktari nk kwasabu nauhakiki mwalimu hata akimuadhibu mwanafunzi kisheria then yule mwanafunzi akapata madhara yoyote wazazi wa mwanafunzi, jamii, mitandaoni nk itakuwa against na huyo mwalimu yaani mwalimu halindwi akiwa natimiza majukumu yake...WHAT THIS
Jamii inaona mwalimu kuadhibu mtoto Ni Kama ni anapata burudani instead kuona ana rekebisha mtoto.
Tatizo waalimu wana upeo mdogo sana, wana stresa za maisha na wana hasira za maish ambazo wanaangusha kwa watotompwayungu village
Binafsi ninawashauri walimu wote nchini waachane na suala la kuchapa wala kufuatilia kwa kina watoto wa watu.
Mwalimu jikite kufundisha tu, mtoto wa mtu akizingua achana naye, hakikisha masuala yote ya kinidhamu unamwachia mzazi wake atajuana naye huko kwao, hata wakifeli wote wewe hautanyimwa mshahara.
Pia walimu tafuteni kazi nyingine binafsi za kuwawazisha zaidi ili ukose muda wa kutosha wa kumuwaza mtoto wa mwingine, ili ujiepushe na matatizo.
Mchuma janga hula na wakwao.
Sio stress tu bali hawajui ku deal na mtotoTatizo waalimu wana upeo mdogo sana, wana stresa za maisha na wana hasira za maish ambazo wanaangusha kwa watoto
Kwa sasa kilichobaki ni kudeal nao perpendicular hadi washike adabu
Wakipotezea wako salama wao na familia zao ila wakijifanya wanashughulikia hilo ndo matatizo yanawaandama wao na ndugu zao.Kwa mfano akatokea mwanafunzi wa darasa la sita/saba anawalawiti watoto wa darasa lapili/tatu na nne waalimu wampotezee tu???