FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Suala sio tu kupiga kwenye unyayo, suala ni kiasi cha nguvu alichotumia kana kwamba anataka kumuua mtoto wa watuKatika kupitia pitia nyuzi mbalimbali kuhusu sakata hili sijaona aliyetoa sababu za kitaalam za kwanini ni hatari kumchapa mtoto kwwnye nyayo ni hatari kuliko mkononi na matakoni. Na kwanini imfanye mwalimu afukuzwe kazi kwa jambo hilo. Si kama naunga mkono jambo lile hapana. Nahitaji sababu za kitaalam tu. Povu ruksa.