Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili .

Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
Viongozi kabisa wa serikali wanachukuwa Sheria mkononi, wamempiga mpaka kifo halafu inakuja kugundulika sio yeye aliye iba aya mambo ya ******* sana kumamae hii tabia sasa inataka kukomaa tumekuwa na taifa ambalo walioko madarakani wanaweza kufanya lolote hii aikubaliki kabisa lazima tuwe na taifa la utawala wa haki na Sheria,
No reforms no election ⚒️ 💯
October tutakuwepo 😎
 
binafsi bado nina mashaka na huyo mtendaji,,,,nahisi kuna kitu nyuma ya pazia,,,,,,,,,laptop peke ndo mtu afe ! to me hapana,,,,,,ana jambo lake hamwambiii mtu
 
Back
Top Bottom