Kwako Babu Mpendwa πŸ’•

Your browser is not able to display this video.
 
Ahsante sana mpwa. Nikifanikiwa hakika utakuwa bestman kwenye harusi yangu na bibi wa butihama
Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri nilishamwona Kasie... Ni bonge la mwanamke. Mrembo wa haja....

Hata kama nimemwona kwenye ndoto potelea mbali... Naamini atakuwa hivyo

Nikifanikiwa ntakukaribisha Butiama umwone Kasie akicheza dansi na babu

Usisahau kuniombea nifanikiwe
 
His love is drug.... En u never want to recover from it[emoji4]
 
Hivi mapenzi hayanaga low season tukapumua kidogo Kasie?

Au niache wivu [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]?

All the best dada.
Ni vile tu hutaki amani[emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]
 
Eeeeh long time Erick...!! Mambo!! Hadi nimeshangaa ujio wako hapa. 😊

Nani amekuficha hivyo, na huyo aliyekuibua toka mafichoni ashukuriwe.

Karibu tena jukwaani.

Asante kwa salamu tunazipokea wote kwa pamoja mimi na Babu.
Hahahaaaa

Niko nawaangalia. Nikawaza huyo babu ni Bishanga au

Mambo poa kabisa...tumepotezana sana ila nipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…