Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi nitakuja na zawadi ya wineUsijali, ntakupatia mradi tuu usiwe na papara.
Unamhusu babu wa ButihamaDuh.!
Mie sijaelewa chochote hapa..
Labda uzi unahusu watu wa Dar tu
Ahsante sanaKila la kheri na babu wako..
Duh.!
Mie sijaelewa chochote hapa..
Labda uzi unahusu watu wa Dar tu
Ahsante sana mpwa. Nikifanikiwa hakika utakuwa bestman kwenye harusi yangu na bibi wa butihama
Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo.
Ulishaniambia kuwa, hili neno nakupenda nilishawaambia wengi huko nyuma ila kwako iwe ndo mwisho. Asitokee mwingine wa kumwambia hivyo hadi pale tutaporudisha namba kwa Muumba.
Butiama ndo makazi yetu mapya na huko ndo tumeamua kustaafu, najua wote (mimi na wewe) si wenyeji wa Butiama ila kwa Mahaba yaliyo kati yetu, Butiama ndo mahala tutaendelea kuzeeshana hadi pale kitapokatikia...
Hakika nakupenda asilani, umeniteka nimekuteka tumetekana.
Vile tumezungukwa na hali ya hewa ya asili, mifugo basi nasikia raha kila kuchwapo uniamshapo kunibariki na kimoko....
Sijilaumu kuchelewa kujuana na wewe ila namshukuru Maulana kwa kunipa haja ya moyo wangu.
Ni wasaaa muafaka tule pensheni zetu kwa afya, raha na maisha yetu na kuwaachia wajukuu zetu urithi maridhawa.
Najua hizi sio pigo zako, ila sikiliza sauti na maneno tuu babu yangu.
Babu, zingatia hapo, “what I feel.....”
Nakupenda Babu yangu mpenzi.
Acha nikakuandalie stafutahi 💕.
Wako mpendwa, Kasie.
NB: 1. wako wataosema kimoyomoyo kuwa na huyu ntaachana tuu.
2. Wengine bibi kilomita zinasoma ngapi
3. Huyu ndo yule wa siku zote / huyu ni mpya / huyu ni yupi.
😊 huyu anaitwa Babu wa Kasie wanaestaafu pamoja kijijini Butiama.
Alhamisi njema. 😉
Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ahsante sana mpwa. Nikifanikiwa hakika utakuwa bestman kwenye harusi yangu na bibi wa butihama
Uzuri nilishamwona Kasie... Ni bonge la mwanamke. Mrembo wa haja....Babu siku unakuja ukasanuka ndio unatambua kua Kasie ni wale wazee wa pwani wa magomeni mapipa wanaocheza dhumna kwenye kile kijiwe chao karibu Butiama hotel sijui utajisikiaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
His love is drug.... En u never want to recover from it[emoji4]Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo.
Ulishaniambia kuwa, hili neno nakupenda nilishawaambia wengi huko nyuma ila kwako iwe ndo mwisho. Asitokee mwingine wa kumwambia hivyo hadi pale tutaporudisha namba kwa Muumba.
Butiama ndo makazi yetu mapya na huko ndo tumeamua kustaafu, najua wote (mimi na wewe) si wenyeji wa Butiama ila kwa Mahaba yaliyo kati yetu, Butiama ndo mahala tutaendelea kuzeeshana hadi pale kitapokatikia...
Hakika nakupenda asilani, umeniteka nimekuteka tumetekana.
Vile tumezungukwa na hali ya hewa ya asili, mifugo basi nasikia raha kila kuchwapo uniamshapo kunibariki na kimoko....
Sijilaumu kuchelewa kujuana na wewe ila namshukuru Maulana kwa kunipa haja ya moyo wangu.
Ni wasaaa muafaka tule pensheni zetu kwa afya, raha na maisha yetu na kuwaachia wajukuu zetu urithi maridhawa.
Najua hizi sio pigo zako, ila sikiliza sauti na maneno tuu babu yangu.
Babu, zingatia hapo, “what I feel.....”
Nakupenda Babu yangu mpenzi.
Acha nikakuandalie stafutahi [emoji177].
Wako mpendwa, Kasie.
NB: 1. wako wataosema kimoyomoyo kuwa na huyu ntaachana tuu.
2. Wengine bibi kilomita zinasoma ngapi
3. Huyu ndo yule wa siku zote / huyu ni mpya / huyu ni yupi.
[emoji4] huyu anaitwa Babu wa Kasie wanaestaafu pamoja kijijini Butiama.
Alhamisi njema. [emoji6]
😂😂😂😂
Ni vile tu hutaki amani[emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]Hivi mapenzi hayanaga low season tukapumua kidogo Kasie?
Au niache wivu [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]?
All the best dada.
HahahaaaaEeeeh long time Erick...!! Mambo!! Hadi nimeshangaa ujio wako hapa. 😊
Nani amekuficha hivyo, na huyo aliyekuibua toka mafichoni ashukuriwe.
Karibu tena jukwaani.
Asante kwa salamu tunazipokea wote kwa pamoja mimi na Babu.