Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo sio issueWassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Muanzisha uzi ni muongo. Kama hilo ni kosa basi Gerson amekuwa akilifanya hata kipindi cha Hayati Dr.Magufuri.Tuwape muda ili nao wabadilike
Hata kwny Cabinet ya kwanza ya Rais Samia walisahau kumpa Peni ya Kiprotokali anayotumia Rais Peni Nyekundu hadi Yeye mwenyewe akaomba
Kuondokewa na Rais ni jambo zito sana tuwavumilie kina Msigwa
Haya,... muda wa kujipendekeza kwa jpm umekwisha... akina Msigwa wakae vizuri bila shaka mama Samia analo la kuwaambia, mama yule hapendi kujipendekeza na sina shaka kwamba mwisho wa akina Mwigulu, Msigwa, Makonda na watu kama hao umefika.Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Kila zama na watu wakeWatu mpo kichawi chawi sana, mnataka kuharibia watu ugali
Lakini mleta mada yuko sahihi mtu mkubwa huwezi kuishia kutaja first name yake tu lazima na surname yake utaje.
Ipo wazi kila awamu na kurugenzi yake ya mawasiliano, Mkapa Chokala, Kikwete Rweyemamu, Magufuli MsigwaWatu mpo kichawi chawi sana, mnataka kuharibia watu ugali
Wanasubiri kufukuzwa tu.Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Huu uchawi kaka acho roho mbaya kama unaona makosa yapo ungeshauri tuWassalam Wakuu,

Nukuu muhimu ya Palamagamba Kabudi inayoshabiana na maono Liverjr
Prof. Kabudi atoa wosia "Tusiwazoee mabosi wala tusijiandae kwa cheo chochote",
Lakini mleta mada yuko
sahihi mtu mkubwa huwezi kuishia kutaja first name yake tu lazima na surname yake utaje.
Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Dua ya kuku hiyo😭! Mñajaribu kuingiza mafarakano kwa Mh SSH, the Iron Lady! Hamtafanikiwa! May God Almighty guide, protect, & bless continuously our madam president hon. Samia S. Hassan, and the government of the republic of Tanzania at large! May God Almighty continue to bless our country Tanzania 🙏, amen!Wassalam Wakuu,