Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo hakizoeleki, kina humiza na kinaweza kukuchanga hata akili ikashindwa kufanya kazi kwa utaratibu mzuri.Tuwape muda ili nao wabadilike
Hata kwny Cabinet ya kwanza ya Rais Samia walisahau kumpa Peni ya Kiprotokali anayotumia Rais Peni Nyekundu hadi Yeye mwenyewe akaomba
Kuondokewa na Rais ni jambo zito sana tuwavumilie kina Msigwa
Vyovyote uandikavyo, lakini umeshawahi kuona taarifa ya Ikulu ikisema Mh. Rais Dr. John?mchawi wewe!!!!
hakuwepo mtu anaitwa John Joseph Pombe Magufuli
ila
John Pombe Joseph Magufuli
KweliNchi hii uchawi ungekuwa unauzwa Supermarket
Binadam tungemalizika wakabaki Mapaka
Tuwape muda kidogo, kama ni mshtuko na majonzi basi mungu awape nguvu warudi katika hali zao za kawaida.Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Wewe jamaa unaonekana una roho mbaya na wivu wa maendeleoWassalam Wakuu,

Let us give me Msigwa benefit of the doubut ya kuondokewa na rais kipenzi chake, asipojirekebisha mamlaka husika zitachukua hatua stahiki.Wewe jamaa unaonekana una roho mbaya na wivu wa maendeleo
Wameshukula vya kutosha. Wawaachie wengine nap wale.Hahaha
Mbona mnataka kila mmoja alieteuliwa na Magufuli akose ugali arooo!
and when is going to the hapen? traders is supposed to pay tax infull not write small amount to big buy. yaaan risit iandikwe bei halal ya mzigo kusudi kodi halal iende kwwnye mapato ya serikalHuyo mama anastahili pongezi kubwa, na kupewa heshma kubwa sana. Nakupenda mama yetu. Hope katika uongozi wako hutawabana wafanyabiashara, muhimu haki na uaminifu uwepo kwa wafanyabiashara.
Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
We ni XX au XY?WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Vyovyote uandikavyo, lakini umeshawahi kuona taarifa ya Ikulu ikisema Mh. Rais Dr. John?
Wewe unaweza kuwa mchawi zaidi kwa sababu unapingana na Ukweli.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app