- Thread starter
- #61
Naona umeruka ruka tu hapa, na umeshindwa kujibu swali langu la msingi.unahisi nini?
kuwa msigwa hamuheshimu Samia?
Msigwa of all people atatamani ajipendekeze na kumpamba mama sio?
So anakosea ili iweje? au unafikiri Rais ni mkusanya sadaka? cheo kinatisha kile ndugu.Lazima Msigwa anamuheshimu na kama kuna kosa lolote si la makusudi na si la kudhabi kuwa kakosea eti hana heshima!!!
I guess umeona zaidi mchawi nani?
Ukishapata jibu, rudi hapa kuzungumza/kuandika ulichokiandika.
Narudia tena, ulishwahi kuona/kusoma taarifa ya Ikulu ikisema 'Mh. Rais Dr. John'? Kama hakuna kwa nini sasa hivi ianze kuandikwa Mh. Rais Samia? Mwandishi akiyekuwa anaandika wakati wa JPM ndiye yule yule anayeandika au kutoa taarifa za SHH.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app