- Thread starter
- #81
Na wewe kinakuwasha nini?Sasa wewe kinachokuwashawasha ni nini sasa?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe kinakuwasha nini?Sasa wewe kinachokuwashawasha ni nini sasa?
Suala la yeye kiandika vizuri jina la Amiri Jeshi Mkuu kuna uhusiano gani na kuwabana fedha zijenge nchi?Ana wenge na mchecheto huyu! I wish mama aendelee kuwabana fedha zijenge nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Msigwa ni mwajiriwa wa Serikali ataendelea na kazi zake kama kawaida ama Ikulu au TBC1 ambaye ni mwajiri wake.Msigwa kavurugwa anawaza na kuwazua je ugali wake utalindwa na mama Samia?
Nyie mnaosema mama hapendi watu kujipendekeza msha fanya nae kazi???Haya,... muda wa kujipendekeza kwa jpm umekwisha... akina Msigwa wakae vizuri bila shaka mama Samia analo la kuwaambia, mama yule hapendi kujipendekeza na sina shaka kwamba mwisho wa akina Mwigulu, Msigwa, Makonda na watu kama hao umefika.
and when is going to the hapen? traders is supposed to pay tax infull not write small amount to big buy. yaaan risit iandikwe bei halal ya mzigo kusudi kodi halal iende kwwnye mapato ya serikal
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka hapaunahisi nini?
kuwa msigwa hamuheshimu Samia?
Msigwa of all people atatamani ajipendekeze na kumpamba mama sio?
So anakosea ili iweje? au unafikiri Rais ni mkusanya sadaka? cheo kinatisha kile ndugu.Lazima Msigwa anamuheshimu na kama kuna kosa lolote si la makusudi na si la kudhabi kuwa kakosea eti hana heshima!!!
I guess umeona zaidi mchawi nani?
Aise Kuna tofauto gani kati ya kusema Dr. John na Dr. Magufuli, hapo si amemtaja kwa jina moja. Kwahiyo angemtaja kwa jina la Mh. Suluhu kwa hoja yako angakuea sawa.Daaah mbona kwenye post number 1, nimesema kabisa sijawahi press ya Ikulu ikimtambulisha aliyekuwa Rais wa 5 kwa jina la Dr. John!
Mbona nimeandika Kiswahili kabisa, nini ambacho hakieleweki?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wala kijana huyu hafai hata kuwa mwandishi msaidizi wa mwandishi wa kawaida. Apigwe chini hata leo.Wassalam Wakuu,
Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5.
Nimeona mara kadhaa tangu kuapishwa kwake wiki iliyopita mpaka jana baada ya Shughuli za Mazishi anafanya makossa yale yale kwa kushindwa kumpa sifa stahiki Rais wa SITA wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mara nyingi amekuwa akiandika “Rais, Mheshiwa SAMIA”. Hii sio sawa kabisa kwa mtazamo wangu kwa Kiongozi wa Nchi kuitwa kwa jina lake la kwanza tu. Kuna kitu kinapungua kwenye kutamka hivyo.
Kwa karibu miaka SITA sasa sijawahi kuona press/Taarifa ya Ikulu iliyomhusisha Rais, Dr. John Pombe Magufuli ikiandikwa “Rais, Mh. Dr. JOHN”. Nakumbuka wakati mwingine aliandika mpaka majina yake manne na hata yale ambayo hayapo kwenye Cheti au yanayotambulika kiserikali. Alikuwa anaandika Dr. John Joseph Pombe Magufuli, lakini Mtu huyu huyu ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasailiano ya RAIS Ikulu, anashindwa kuandika Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa SAMIA HASSAN SULUHU. Si sawa.
WITO WANGU; Ni wakati sasa wa kumpumzisha ndg yetu huyu ambaye ameshindwa kuheshimu mamlaka ya Nchi kwa Kushindwa kuandika majina yake matatu na sasa ikimpendeza Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan kumteua Mtu mwingine na ikipendeza Zaidi, napendekeza awe mwanamke.
Sabato njema!
Wassalam Wakuu,

Apigwe chini tu huyu!Wassalam Wakuu,

Ukweli Hauchangamani na Unafiki mkuu. It seem's umepanic poleAcha wivu Bata Pori wwe!!!! ...
(ROHO MBAYA haijengj!!)
NIT-PICKERWassalam Wakuu,

Sasa kati yangu na wewe, nani anatakiwa aache UMAMA?Aise Kuna tofauto gani kati ya kusema Dr. John na Dr. Magufuli, hapo si amemtaja kwa jina moja. Kwahiyo angemtaja kwa jina la Mh. Suluhu kwa hoja yako angakuea sawa.
Usihamishe Magoli wewe Mzee. Hoja yako ni wakati wa Dr Magufuli alikuwa anataja majina matatu hadi manne ila sasa hivi anataja jina moja, kitu ambacho si kweli. Hakuna kilichobadilika.
Vinginevyo kama nimakosa kufanya hivo Basi yalianzia kwa Magufuli uache umama aise.