Kwako Gerson Msigwa wa Ikulu, heshimu mamlaka

Naona umeruka ruka tu hapa, na umeshindwa kujibu swali langu la msingi.

Ukishapata jibu, rudi hapa kuzungumza/kuandika ulichokiandika.

Narudia tena, ulishwahi kuona/kusoma taarifa ya Ikulu ikisema 'Mh. Rais Dr. John'? Kama hakuna kwa nini sasa hivi ianze kuandikwa Mh. Rais Samia? Mwandishi akiyekuwa anaandika wakati wa JPM ndiye yule yule anayeandika au kutoa taarifa za SHH.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Sawa Bata Maji

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kupenda heshima kupitiliza imeondoka na Magufuli. Hivi hujui kuna watu wanapenda kuitwa kwa jina lao la kwanza? Kwa mfano Ulaya watu wengi sana wanapenda kuitwa majina yao ya kwanza hata wale wenye vyeo. BTW unajuaje kama mheshimiwa Samia alishaulizwa akasema anapenda kuitwa kwa kutumia jina lake la kwanza? Nakumbuka majuu sehemu nyingi ukianza kazi/masomo mara ya kwanza utaulizwa unapenda kuitwa kwa jina gani?
 
Wapi nimeandika habari za kupenda Heshima kupitiliza?

Unanileteaje habari za Ulaya wakati mi naongelea Tanzania! Eti Mh. Rais labda aliulizwa, kwa nini useme labda?

Unadhihirisha ni namna gani wewe ni BATA MAJI!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Raia mwenye jina lake hajaona kuna tatizo anavyoitwa au kuandikwa. Wewe unasema ni tatizo. Mwenye matatizo ni nani kama siyo wewe? Nenda kalime kama huna kazi ya kufanya
 
Soma na uelewe, sawa mkuu!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hakuna kisichoeleweka we Mzee.
Angalia hata wakati wa Magufuli, hayo majina matatu au manne alikuwa anayataja mwanzoni, ila pale anaporudia kutaja alikuwa anatumia jina moja Rais Dr. Magufuli, the same kwa samia mwanzoni anaandika hivo hivo majina matatu ila anapokuja kurudia ndio anatamka Rais Samia. Sasa siioni tofauti, so kama ni makosa hapo tukubaliane lakini hayajaanzia Rais Mpya Kama inavyotaka kuwaaminisha watu
 
Ana wenge na mchecheto huyu! I wish mama aendelee kuwabana fedha zijenge nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mkuu umeamua kumsagia kunguni kabisa bwana Gerson Msigwa! Ila kama ni kweli umeona hayo atakuwa amejitafakari na kuona kibarua kinaenda kuota nyasi! Naamini Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan anaenda kumteua yule aliyekuwa anazunguka naye kwenye kampeni! Kufa kufaana!
 
Hii ilitarajiwa...waganga njaa na watu wa .majungu kazini...kwa hiyo yupo mtu unayetaka apate nafasi hiyo...dah...
 
Daaah mbona kwenye post number 1, nimesema kabisa sijawahi press ya Ikulu ikimtambulisha aliyekuwa Rais wa 5 kwa jina la Dr. John!
Mbona nimeandika Kiswahili kabisa, nini ambacho hakieleweki?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hii ilitarajiwa...waganga njaa na watu wa .majungu kazini...kwa hiyo yupo mtu unayetaka apate nafasi hiyo...dah...
Kwani kuna Ubaya gani? Si walikuwepo watu kabla ya Msigwa?

Mtu anashindwa kuheshimu Amiri jeshi Mkuu kwa kumuita kama anavyoimuita mwanae halafu lipite hivi hivi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…