Kwako Gerson Msigwa wa Ikulu, heshimu mamlaka

Msigwa kavurugwa anawaza na kuwazua je ugali wake utalindwa na mama Samia?
Msigwa ni mwajiriwa wa Serikali ataendelea na kazi zake kama kawaida ama Ikulu au TBC1 ambaye ni mwajiri wake.
 
Haya,... muda wa kujipendekeza kwa jpm umekwisha... akina Msigwa wakae vizuri bila shaka mama Samia analo la kuwaambia, mama yule hapendi kujipendekeza na sina shaka kwamba mwisho wa akina Mwigulu, Msigwa, Makonda na watu kama hao umefika.
Nyie mnaosema mama hapendi watu kujipendekeza msha fanya nae kazi???
 
and when is going to the hapen? traders is supposed to pay tax infull not write small amount to big buy. yaaan risit iandikwe bei halal ya mzigo kusudi kodi halal iende kwwnye mapato ya serikal

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli mkuu, kila kitu kifanyike kihalali, lakini kodi iko juu sana, tunaomba kodi ipungue. Tunaumia sana
 
Kweli kama ameandika hivyo ni kosa atafute kazi ya kufanya tuu..
 
Hujaeleweka hapa
 
Rais atoe wote Ikulu hadi wafagiaji. Dr. Bashiru, Dr. Abbas, Msigwa na timu yake wote wasafishwe. Wata mhujumu tu.
 
Purging lazima ifanyike ikianzia na kuvunjwa kwa baraza la mawaziri na kuondoa vimeo vyote...
 
Daaah mbona kwenye post number 1, nimesema kabisa sijawahi press ya Ikulu ikimtambulisha aliyekuwa Rais wa 5 kwa jina la Dr. John!
Mbona nimeandika Kiswahili kabisa, nini ambacho hakieleweki?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aise Kuna tofauto gani kati ya kusema Dr. John na Dr. Magufuli, hapo si amemtaja kwa jina moja. Kwahiyo angemtaja kwa jina la Mh. Suluhu kwa hoja yako angakuea sawa.
Usihamishe Magoli wewe Mzee. Hoja yako ni wakati wa Dr Magufuli alikuwa anataja majina matatu hadi manne ila sasa hivi anataja jina moja, kitu ambacho si kweli. Hakuna kilichobadilika.
Vinginevyo kama nimakosa kufanya hivo Basi yalianzia kwa Magufuli uache umama aise.
 
Wala kijana huyu hafai hata kuwa mwandishi msaidizi wa mwandishi wa kawaida. Apigwe chini hata leo.
 

Frastration hizo mkuu muelewe tu
 
Apigwe chini tu huyu!
 
NIT-PICKER
 
Sasa kati yangu na wewe, nani anatakiwa aache UMAMA?

Kama umeshindwa kuona tofauti ya "Dr. John na Dr. Magufuli" huo si ni umbulula wako?

Ambatanisha press ya Msigwa akimtaja Rais wa 5 kwa jina moja la John!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…