Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana.

Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%.

RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini?

Kila siku kuna mauaji Geita.
 
Sasa kama mauwaji ya fisi afanye nn wakati huku fisi n usafiri wa umma....
KAIMU RPC mkoa Geita tabia yake anafika kwenye tukio baada ya mauaji kutokea.

Tulizoea polisi kufika kwenyetukio, tukio likiendelea Ili kuokoa wananchi na mali zao.
Unataka kusema polisi wangenusa kuwa Milembe atauawa isiku?.
Hii sio sawa
 
Back
Top Bottom