Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

Hizi akili huwa mnatoa wapi?

Hivi mfano mauaji ya mume na mkewe unataka polisi washinde vyumbani kwetu kutulinda mchana na usiku?

Infact mauaji 80% ni kwa kutumia visu na mapanga ambayo yanauzwa kama zana za kazi, sasa polisi watajuaje kama flani ana mgogoro na mkewe na kapanga kumuua leo?

Mostly, Mauaji 90% ni Personal conflicts na sio utekaji au unyang'anyi.

Emu njoo na Suggestion, wacha kulaumu tu.
Mfano watu wanakatana mapanga usiku wakiwa wamelala. Geita kuna shida kubwa sana
 
Back
Top Bottom