Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somalia ina nafuuGEITA NI SOMALIA
HaswaaaahTulishaandika humu mara kadhaa kwamba Geita inaongoza kwa unyama barani Africa ikifuatiwa na Mogadishu
Hao polisi wa Chadema mtawatoa mwezini?eti tutalivunja!Hii Nchi imeshawashinda CCM sisi CHADEMA tukishida Uchaguzi tutalivunja Jeshi la Polisi na kulisuka upya ili liwe na weledi.
Kuliko sasa hivi huwezi kutofautisha kati ya Polisi na Interahamwe wa UVCCM.
RIP Mawazo.
Hawana la maana kazi kulaumu!Jamii Forum fanyeni vetting ya aina ya watu wa kuwa humu otherwise mtandao huu umepoteza sana credibit.Hizi akili huwa mnatoa wapi?
Hivi mfano mauaji ya mume na mkewe unataka polisi washinde vyumbani kwetu kutulinda mchana na usiku?
Infact mauaji 80% ni kwa kutumia visu na mapanga ambayo yanauzwa kama zana za kazi, sasa polisi watajuaje kama flani ana mgogoro na mkewe na kapanga kumuua leo?
Mostly, Mauaji 90% ni Personal conflicts na sio utekaji au unyang'anyi.
Emu njoo na Suggestion, wacha kulaumu tu.
Hadi mkuu wa mkoa?Kamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Geita wanaishi mkoa wa Mwanza wote .
Matukio ya kutokea Geita wao wanakula bata Mwanza.
Hii nchi inauma sana.
Wewe ni mwanaume au kavulana?Yani hata nijengewe Palace siwezi ishi Geita
Noooo mkuu pls, police Geita kama rate yao to arrest suspects ingekuwa kubwa na conviction rate yao ingekuwa nzuri mahakama, tatizo hili lingeisha au kupungua sana, sasa kuna killers wengi they just walk away with murder kwa sababu police ni useless pale Geita, mkoa una traffic officer's wengi mno kuliko police ulinzi, Geita need more boots on the ground sip blah blahHizi akili huwa mnatoa wapi?
Hivi mfano mauaji ya mume na mkewe unataka polisi washinde vyumbani kwetu kutulinda mchana na usiku?
Infact mauaji 80% ni kwa kutumia visu na mapanga ambayo yanauzwa kama zana za kazi, sasa polisi watajuaje kama flani ana mgogoro na mkewe na kapanga kumuua leo?
Mostly, Mauaji 90% ni Personal conflicts na sio utekaji au unyang'anyi.
Asalaam
Emu njoo na Suggestion, wacha kulaumu tu.
Tuambie, huyo Otieno angezuiaje Milembe asiuliwe?Kamanda Msomi Martin Otieno , Tunaomba ahamishiwe kuwa RPC wa mkoa wa Geita soon, vinginevyo KAIMU RPC naye Atakuwa matatani siku Sio nyingi.
Mauaji kama yanatokana na imani za kishirikina ni jamii yote kuelimishwa na kuelimishanaKAIMU RPC mkoa Geita tabia yake anafika kwenye tukio baada ya mauaji kutokea.
Tulizoea polisi kufika kwenyetukio, tukio likiendelea Ili kuokoa wananchi na mali zao.
Sawa wazo zuri, lakini jiulize kidogo kwamba kwanini USA pamoja na kuwa na Security ya hali ya juu ikiwamo na CCTV kila barabara lakini kila leo tunasikia mauaji ya kupigwa Risasi Raia. Unadhani kwanini Mauaji hayakomi USA?Noooo mkuu pls, police Geita kama rate yao to arrest suspects ingekuwa kubwa na conviction rate yao ingekuwa nzuri mahakama, tatizo hili lingeisha au kupungua sana, sasa kuna killers wengi they just walk away with murder kwa sababu police ni useless pale Geita, mkoa una traffic officer's wengi mno kuliko police ulinzi, Geita need more boots on the ground sip blah blah
Sema afande Berthaneema alichoshindwa. Kiseme. Vinginevyo ni majungu!Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana.
Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%.
RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini?
Kila siku kuna mauaji Geita.
Sio kweli ....Geita kuna shida madeni mengi wachimbaji wadogo wengi sana matambiko ya madini mengi sanaaa....vifo vingi ushorikinaKamati ya ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Geita wanaishi mkoa wa Mwanza wote .
Matukio ya kutokea Geita wao wanakula bata Mwanza.
Hii nchi inauma sana.
Jisemee mwenyewe. Usitusemee. Mama anachapa kazi na kazi iendelee.Samia anakula bata magogoni.
Tutakutana naye 2025
Basi kama wanaongoza kwa unyama tuwahamishie pori la burigi😂😂😂Tulishaandika humu mara kadhaa kwamba Geita inaongoza kwa unyama barani Africa ikifuatiwa na Mogadishu
Geita wa badilike kama unaishi na mtu anayekutishia maisha karipoti polisi hata kama ni mme au mke au rafiki wa karibu Ili kukomesha mauaji, kingine geita imejaa wahamiaji wa mikoa mingine hasa waliokimbia makwao Kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda katika jamii zao hivyo geita wanajificha Kwa maana ya kwenda machimboni,na wakifika huko wanabadilisha majina Yao halisi, Geita iwe Kanda maalumu, kingine ushirikina wa machimboni nacho ni chanzo Cha mauaji Geita,pia kudhulumu watu,Hawa watu wa madini kudhulumu wewe hawaonagi shida kwao,zaidi ya hapo Geita wanapesa za madini Sasa kukuchululia mke au Bwana,au mpenzi wako Kwao sio tatizo kabisa hivyo kisasi ni lazima kwo.Hizi akili huwa mnatoa wapi?