peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
KAIMU RPC mkoa Geita tabia yake anafika kwenye tukio baada ya mauaji kutokea.Tafuteni chanzo cha Mikasa yenu... Polisi mnawaonea .. Kila siku Geita!
Kuna tatizo la kijamii!
Au laana ya Watanzania....😊
Samia anakula bata magogoni.Tulishaandika humu mara kadhaa kwamba Geita inaongoza kwa unyama barani Africa ikifuatiwa na Mogadishu
Unyama wa mkoa huu ni tangu JiweSamia anakula bata magogoni.
Tutakutana naye 2025
Sasa kama mauwaji ya fisi afanye nn wakati huku fisi n usafiri wa umma....
Unataka kusema polisi wangenusa kuwa Milembe atauawa isiku?.KAIMU RPC mkoa Geita tabia yake anafika kwenye tukio baada ya mauaji kutokea.
Tulizoea polisi kufika kwenyetukio, tukio likiendelea Ili kuokoa wananchi na mali zao.
Fisi amekutwa amefungwa 'CCTV Camera'Sasa kama mauwaji ya fisi afanye nn wakati huku fisi n usafiri wa umma....
Uwe wa kwanza Wewe kujiuzia jenezaKwani Tatizo nn mkuu?
Acha wauane Tuuze majeneza[emoji4]