Hizi akili huwa mnatoa wapi?
Hivi mfano mauaji ya mume na mkewe unataka polisi washinde vyumbani kwetu kutulinda mchana na usiku?
Infact mauaji 80% ni kwa kutumia visu na mapanga ambayo yanauzwa kama zana za kazi, sasa polisi watajuaje kama flani ana mgogoro na mkewe na kapanga kumuua leo?
Mostly, Mauaji 90% ni Personal conflicts na sio utekaji au unyang'anyi.
Emu njoo na Suggestion, wacha kulaumu tu.