Kwako Jaji Mutungi, Kampeni za Uchaguzi wa Urais 2025 zimeruhusiwa Rasmi?

Judge Mutungi atwambie ikiwa compaign za Urais zimeanza,

Maana Mh Rungwe Kwa Mfano, naamini Hana habari juu ya kuanza compaign mapema!!
 
Ukweli nao uwe na kiasi Mkuu. Tunasema kidogo kidogo. Hapo kwa "wapiga domo ........" umezidisha 🤣.
Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kuna kitu anaficha kwa kwenda extreme.
 
Jomba huyo Mutungi hapo alipo kateuliwa hiyo nafasi na mwenyekiti wa CCM ambaye ndo Rais.
Uongo,

Judge Mutungi ameteuliwa na Rais, hakuteuliwa na mwenyekiti wa CCM,

Ndomana mshahara wake hautoki Lumumba.

Aikemee CCCM bila uoga.
 
Ingekuwa Chadema imefanya hivi VIONGOZI wake wangekuwa MAGEREZA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hahahaa
 
Uongo,

Judge Mutungi ameteuliwa na Rais, hakuteuliwa na mwenyekiti wa CCM,

Ndomana mshahara wake hautoki Lumumba.

Aikemee CCCM bila uoga.
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo... ukweli hata Mutungi anaujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…