- Thread starter
- #21
Judge Mutungi atwambie ikiwa compaign za Urais zimeanza,Ndio shida ya CCM wao siku zote wanawaza CHAGUZI ila MATATiZO ya wananchi kama
1.Mgao mkali wa UMEME
2.Ukosefu wa Maji licha ya kuwa na vyanzo lukuki vya MAJI
3.Huduma duni kabisa za Usafiri jijini Dar
4.Migogoro ya kila siku kati ya Wakulima na Wafugaji ,..HAYAWAHUSU ila kutwa ni kuwaza KUPORA chaguzi..
Hawa watu pasipo watz kuamka,TUMEKWISHA
Maana Mh Rungwe Kwa Mfano, naamini Hana habari juu ya kuanza compaign mapema!!