Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

hapa ni maonyesho ya magari??? sema tu mimi sipendi kuwa kama mhaya




hivi Smile nilivyokupa haka nilisema kwani?
 
Last edited by a moderator:
Paloma.. hebu njoo pande hii mpenzi uone sarakasi za manoah.. yaani mwenyewe amefanya ile wanaita sijui photoshopu.. mie haya simuamini hata kidogo..

yaani.....wakati pafyumu uliiotoa wewe kwenye boksi.......wewe mwenyeeeeewe sosoliso!!!
 
Last edited by a moderator:
hapa ni maonyesho ya magari??? sema tu mimi sipendi kuwa kama mhaya




hivi Smile nilivyokupa haka nilisema kwani?

Heee Lucas.. Tangaza uone Takukuru na TRA wanavyokushukia kama mwewe.. Utajiri wako haujulikani chanzo chake.. Tuachie wenye vipato vya halali tutambe..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…