Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Hiyo milango ungeweka kofuli la solex aisee. Paw hakawii kuliiba aniletee.

checki nitakavyokuipimp......ready for security purposes.................ooooh nakupenda mehbub wangu sosoliso povu!!!
 
Last edited by a moderator:
sosoliso kweli mapenzi unayajua, na wewe ni kinara wa kupenda.
Hilo fulii lenda ulilomnunulia Paloma si bora ungeliuza umnunulie pedo pusha?
Naona una ajenda ya siri kumchakaza mrembo wa my moyo
 
oooh siachani naye.....tufagilieni siye........wawawa!!!!
umecheki artwork ya jinsi nitakavyoipimp lakini au unabwabwaja tu?
 
Hiyo milango ungeweka kofuli la solex aisee. Paw hakawii kuliiba aniletee.

yani kwanza akianza tu kulisogelea alarm goes off.....akiattempt theft linamhandcuff! kitu kiko fully under surveillance!!!

labda akapige uloze kwa bi Kaunga..............
 
Last edited by a moderator:
sosoliso kweli mapenzi unayajua, na wewe ni kinara wa kupenda.
Hilo fulii lenda ulilomnunulia Paloma si bora ungeliuza umnunulie pedo pusha?
Naona una ajenda ya siri kumchakaza mrembo wa my moyo
Bujibuji.. hapo kwenye red unamaanisha moyo wangu mie.. Ninashukuru kwa kunipongeza.. Nampenda sana Paloma.. ninashangaa mpaka sasa hivi Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano Baba V hajanipa baraka zake.. Au sijui kuna konfliti ofu interesti hapa..
 
Last edited by a moderator:

Nitakuendesha mimi! Full experienced driver!!!!:A S-heart-2:
 
uyu sosoliso ata kidogo sintomsikiliza wacha aseme yooote anayotaka kusema..nachojua ni kukupenda tu..ntakustua

Muulize katoka wapi sasa hivi huyo manoah wako..? amekurupushwa kaja hapa jasho linamtoka.. anakuja kukudanganya..
 
Last edited by a moderator:

Copy kwa .......!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…