Kwako Makonda, RC Mpya wa Arusha: Kipaupembele chako kikuu kama RC kiwe ni kuboresha mazingira ya utalii bora

Makonda tayari CV yako ni nzuri iendeleze itakufaa mbele ya safari kwa vyeo ulivyopitia na ufanisi wako ila ongeza elimu kidogo Distant Education Masters.
 
Poleni Arusha, akufelishaye hakuchagulii mtihani....
Mvamizi aliyepingwa marufuku kuingia marekani kwa kudhulumu maisha na kutesa binadamu leo anapelekwa kusimamia utalii Jiji la utalii!!!
Hii nchi akili za viongozi ni za ajabu saana saaaanaaaa!!!
Eti kisa Lema,tunawaza uchaguzi kuliko maendeleo.
 
Tunangoja beer za ofa
 

Utalii unakuzwa na Mkuu wa Mkoa? Tanzania hii jaman, huu utalii unakuzwa na uwekezaji wa wa sekta binafsi, na kuharibiwa na wanasiasa.
 
Tabia ni kama ngozi awezi badirika uyo alichokifanya kwa GSM ndio anakuja wafanyia wafanya biashara wa arusha, hofu yangu tu wachaga si mafala nahofia mwamba kupigwa risasi hadharani kabisa watu wanaona na muaji akajiua kwa hasira na mauzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…