Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Min ...Mimi nafikiri chaguzi hizo zinafanyika random tu bila kuaangalia udini , ukianza kufanya chaguzi kwa kubalance mambo ya udini apo ndipo tatzo litakapo anzia .serikali haina dini mkuu.
nadhani unaelewa ilifika wakati siasa za kidini hazikukubaliwa tena katika tanzania. Viongozi wakuu walikemea udini usimee na kushamiri tanganyika/tanzaniaLoth...
Unaijua historia ya chama cha TANU kuanzia African Association 1929 hadi TANU 1954?
Ungeweza kuiweka TANU Dar-es-Salaam mbali na Waislam na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam waTanganyika)?
Hujui kwa nini ilikuwa vile?
Mdukuzi,Vyama vyenye mlengo wa ala shaabab hivyo,Mbona mgumu kuelewa
Najifunza🙏Min...
Kipaumbele cha Waislam baada ya uhuru kupatikana ilikuwa elimu.
Mwaka wa 1962 kukaitishwa Muslim Congress agenda kuu kujenga shule na Chuo Kikuu kupitia EAMWS.
Shule zikaanza kujengwa na ilipofika mwaka wa 1968 EAMWS ikaanza ujenzi wa Chuo Kikuu.
Serikali ikapiga marufuku EAMWS na kuunda BAKWATA.
Huijui historia hii?
Loth...nadhani unaelewa ilifika wakati siasa za kidini hazikukubaliwa tena katika tanzania. Viongozi wakuu walikemea udini usimee na kushamiri tanganyika/tanzania
Kama msemaji wa waislam.Peaky...
Ukiwa "mdini" unakusudia Uislam umesema kweli kabisa.
Naupenda sana Uislam.
Ukiwa kuniita "activist wa Islamic," unakusudia kushughulika na Waislam na Uislam hakika umesema kweli.
Kwani haya hayaruhisiwi mtu kufanya?
Hili la kupewa nafasi BAKWATA nakuomba unifafanulie nafasi ya BAKWATA nikafanye kazi gani?
Min...Najifunza🙏
Peaky...Kama msemaji wa waislam.
Maana kila unachoandika lazima useme kuwa uislam unaonewa hapa Tanzania. Una faa kupewa nafasi ya kuwa Islamic defender pale bakwata.
Hoja dhaifu sana hii. Kama serikali ilipiga marufuku mwaka 1968, ndio iliwaambia wasipate elimu?Min...
Kipaumbele cha Waislam baada ya uhuru kupatikana ilikuwa elimu.
Mwaka wa 1962 kukaitishwa Muslim Congress agenda kuu kujenga shule na Chuo Kikuu kupitia EAMWS.
Shule zikaanza kujengwa na ilipofika mwaka wa 1968 EAMWS ikaanza ujenzi wa Chuo Kikuu.
Serikali ikapiga marufuku EAMWS na kuunda BAKWATA.
Huijui historia hii?
Porojo tu. Si mnajinasibu kuongoza kwa namba kubwa hapa Tanzania, why hayo yanatoke?Min...
Hujui yaliyokuwa yakifanyika NECTA hadi Waislam wakafanya maandamano mwaka wa 2012?
Kama serikali inahodhiwa na dini moja, hao waislam waliopewa nafasi na huyo hiyo serikali ni wa dini hiyo pia?Min ...
Ikiwa serikali inahodhiwa 80% na waumini wa dini moja bado serikali hiyo itakuwa haina dini?
Peaky...Porojo tu. Si mnajinasibu kuongoza kwa namba kubwa hapa Tanzania, why hayo yanatoke?
Hawakuwa na impact yoyote ndio maana hawapo.Loth...
Soma historia ya uhuru ndiyo uje hapa ufanye mjadala.
Hawa ndiyo waasisi wa African Association: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Suleiman Majisu, Ibrahim Hamisi, Zibe Kidasi, Ali Said Mpima, Cecil Matola, Raikes Kusi na Rawson.
Ushapata hata siku moja kuyasikia majina haya katika historia ya uhuru wa Tanganyika?
Peaky. ..Kama serikali inahodhiwa na dini moja, hao waislam waliopewa nafasi na huyo hiyo serikali ni wa dini hiyo pia?
Kwani ukisema uteuzi hauna usawa maana yake sio unaonewa?Peaky...
Naandika Uislam unaonewa?
Hebu niwekee hapa hayo niliyoandika Uislam unaonewa.
Huwezi kuwa na jibu kwa vile madai yako hayana msingi. Kulalamika lalamika kama mtoto haitawasaidia waislam wenzako. Ukijikita kuwahamasisha na kuwapa mbinu wafanyeje ili nao wa dominate utakuwa umewasaidia.Peaky. ..
Hata mie sina jibu.
Peaky...Hawakuwa na impact yoyote ndio maana hawapo.
Nimekujibu hawakuwa na impact.Peaky...
Umewaona waliounda AA.
Je unawajua waliounda TAA Political Subcommittee 1950?:
Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu, Abdul Sykes, Dr. Vedasto Kyaruzi, Steven Mhando na John Rupia.
Nakumbuka nimeanza kusoma nakala zako mwanzoni mwa 1990's. Hata ktk zile zilizo zikirudufiwa na typewriter mwisho ukiandika jina lako.Mdukuzi,
Sijapatapo kuacha kuandika wakati wowote.
Sijapatapo kushikwa na hofu nikaacha kuandika.
Angalia hapa niko katika jina langu kwa sura na sauti.
Wewe ndiye muoga uliyeficha jina lako.
Niandikayo yote yako hapa yapitie na lete ushahidi kuwa mimi muoga.