Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
Umesahau kuwa ndugai ni subwoofer. Hawezi kuisoma na kuielewa. Subwoofer hupokea sauti kutoka kwenye transmitter.View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Wewe mpuuzi Tanzania sio Mali ya CCM kenge weweView attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Chakubanga nakuonani uhuni kuendeshwa na upepo wa twitter
Kumbe ndio huyoChakubanga nakuona
Mzee wa viieetiii
jingalao naona umebaki peke yako unaempigania Marehemu kwa facts. Wenzako kina Bia yetu , KARLO MWILAPWA , Magonjwa Mtambuka , Elitwege na Crimea wamemtelekeza kabla hata ya 40View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Na uwanja wa ndege je?Simba wa kutosha walishakuwepo Burigi
Ilani au sera ya CCM ni kwa propaganda za uchaguzi tuView attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.
Karibuni kwa mjadala
Ndiyo.Una ushahidi??
Chama kinachoshinda Uchaguzi ndicho kinachoongoza nchi na kinapaswa kutekeleza ilani yake iliyoinadi kwa wananchi. Chama kisipotekeleza mwisho wa siku watawahoji watawala wamefanya niniNakubalina nawe, nashangaa watu kujitoa ufahamu wakati kila kitu kiko kwa maandishi apa............................
hata wakati anaingia nilibaki mwenyewe...jingalao naona umebaki peke yako unaempigania Marehemu kwa facts. Wenzako kina Bia yetu , KARLO MWILAPWA , Magonjwa Mtambuka , Elitwege na Crimea wamemtelekeza kabla hata ya 40