Kwako Ndugai: Ukiwa kama Spika unapaswa kuisoma ilani ya CCM kwa kina kuhusu Bandari

Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo

Ndugai mtu hovyo sana sanaaaaaa, kabisa, sio mtu yule aiseee, yaani leo anatetea bandari ya Bagamoyo, na anajua Bagamoyo port ni hatari sana kwa kuua nchi yetu, wachina watatukausha kila kitu
 
View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
Umesahau kuwa ndugai ni subwoofer. Hawezi kuisoma na kuielewa. Subwoofer hupokea sauti kutoka kwenye transmitter.
 
View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
Wewe mpuuzi Tanzania sio Mali ya CCM kenge wewe
 
Spika na 'msoga gang' master walishakula chajuu kwa hiyo wanatafuta njia za kujiondoa lawamani
 
View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
jingalao naona umebaki peke yako unaempigania Marehemu kwa facts. Wenzako kina Bia yetu , KARLO MWILAPWA , Magonjwa Mtambuka , Elitwege na Crimea wamemtelekeza kabla hata ya 40
 
View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
Ilani au sera ya CCM ni kwa propaganda za uchaguzi tu
 
Nakubalina nawe, nashangaa watu kujitoa ufahamu wakati kila kitu kiko kwa maandishi apa............................
Chama kinachoshinda Uchaguzi ndicho kinachoongoza nchi na kinapaswa kutekeleza ilani yake iliyoinadi kwa wananchi. Chama kisipotekeleza mwisho wa siku watawahoji watawala wamefanya nini
 
Mimi siku zote nkawa nafikiri huyu jingalao ndo Ndugayi! Alafu Mtu kama huyu ukute ni baba mwenye watoto na TRA bila aibu wanachukuaga kodi yake?!😂
Fikra pevu ni muhimu this is contraversial JF
 
Back
Top Bottom