Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

Nitakuwa nauvuruga mjadala maana nimegundua kumbe mjadala umekaa kisiasa siasa zetu za Tanzania kwamba lazima uwe muungaji mkono au mpingaji wa serikali.

Mkuu kwani unadhani wala unatupa pressure. Tumekuelewa.

Kwani hata darasani wanafunzi wote ni lazima waelewe somo?

Ni hivyo hivyo hata humu jamvini IQ zote zipo.

Jimwage mkuu uko vizuri.
 
Nitakuwa nauvuruga mjadala maana nimegundua kumbe mjadala umekaa kisiasa siasa zetu za Tanzania kwamba lazima uwe muungaji mkono au mpingaji wa serikali.
Angalia maandiko yako yako vema... nilikunukuu ili utambue wapi kuna tatizo. Hili janga halihitaji siasa ni la wote ni mapambano ya pamoja si mapambio wala mapambo... ni hiyari yetu na jukumu letu kuchukua hatua stahiki la sivyo...
 
Ati inadai Mh. Rais tafadhali tuachane na mambo ya uchumi na siasa. Ugonjwa huu utamaliza watu kwa uzembe wenu, mimi nakwambia hivi, ugonjwa huo utawamaliza watu wengi kwa uzembe, mzaha, sunyojali, na ujeuri wao. Serikali imetoa na insendelea kusisitiza matumizi ya kinga dhidi ya maambukizi, lakini wapi. Ni Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Kufungia watu ndani HAPANA. Raising wetu yuko kwenye njia sahihi. Huwezi kuelewa leo. Na hakuna namna us kukuelewesha. Fuatilia aesema nini na etoa with gani. Huwezi kuufuata wito wake kaa kimya. Ukiona vipi jiweke gerezani mwenyewe. Kama una misuli ya imani ingia vitani.
 
Hivi kufunga mipaka ya nchi kuzuia uhonjwa usiingie Ni siasa? Mkuu utakuwa Na tatizo kichwani.Tunawalaumu wanasiasa kwa kutochukua maamuzi thabiti.
Sasa mkuu na mie kusema kwamba corona ni janga duniani ndiyo kwamba nionekane natetea serikali na kwamba nalipwa? navyojua hayo maneno ya kwamba kuna watu humu sijui wanalipwa kwa kutetea serikali ni maneno yapo kwenye mabishano ya kisiasa sasa nashangaa mtu ananiambia nalipwa kwa kutetea serikali kwahiyo kumbe jamaa anachofanya ni kuishambulia serikali na ndio maana anaona mie naikingia kifua serikali.
 
Hivi kwa nini usiji lockdown wewe na familia yako na ukoo wako ikiwezekana ili muwe salama? Kuendelea kusubiria amri ni ujinga kama ujinga huu ulioandika . HUU UGONJWA NI UPEPO TU , KILA TAIFA UTAVUMA NA KUATHIRI NA KUPOTEA KWA NAMNA YAKE . NA TANZANIA NAMNA TETU NI HII HII YA KUMTEGEMEA NA MUNGU . HATULINGANISHWI NA NCHI YOYOTE HATA IWE KUBWA KIASI GANI .

JICHIMBIE HANDAKI KAKAE HUMO WEWE FAMILIA UKOO NA MARAFIKI NA JAMAA ZAKO .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km unataka lockdown kaa Ndani Wewe na familia

Hivi vitumishi vyenye uhakika wa mwisho wa mwezi kero kweli

Kumbuka kuna watu lazima watoke Ndio wale

Sent using Jamii Forums mobile app
Upe ubongo nafasi ya kufanya kazi hii kabla ya mdomo, hamna aliyesema kuwa tunajitosheleza majumbani, na wala hakuna nchi yenye watu woote wana mishahara. Kinachozungumzwa hapa ni serikali kuwawezesha watu kukaa ndani. Ni vyema na nafuu yakifanyika mapema kuliko tutakapokuwa na waathirika milioni 4
 
Wamarekani wanaandamana toka juzi kupinga lockdown, watanzania wanalilia lockdown, hii dunia ina maajabu mengi sana.

Pengine watu waangalie takwimu za mataifa ya afrika kwa kulinganisha maambukizi dhidi ya wanaokufa.

Kuna uwezekano takwimu za vifo vya malaria zingekuwa nazo zinatolewa kama hizi za corona, tungeacha kutiana hofu za corona.

Fuata maelekezo chukua hatua hapo ulipo
 
Kaa ndani na familia yako period
 
Kaaa ndani na familia yako. Kama wewe umejitosheleza kimaisha usilazimishe watu wengine wafe njaa. Kama unaona nje kuna ugonjwa kiherehere cha nini kwenda kuzurura. Tuliza kwato zako ndani angalia katuni na wanao, msaidie mkeo kufua khanga.
 
Mkuu kwani unadhani wala unatupa pressure. Tumekuelewa.

Kwani hata darasani wanafunzi wote ni lazima waelewe somo?

Ni hivyo hivyo hata humu jamvini IQ zote zipo.

Jimwage mkuu uko vizuri.
Najua kwa humu ni rahisi kunielewa maana humu ni lazima uwe mpingaji au muungaji mkono tu.
 
Fikirisha kidogo akili yako mkuu. Issue sio mtu na familia yake, ugonjwa unaoambukiza hauishi kwa mtu mmoja kutibiwa na mwingine kuachwa au huyu kujikinga mwingine abaki kuwa carrier. Mimi nikiwa salama jirani yangu ana maambukizi, hapo hatujatokomeza ugonjwa bali tunaufuga, sasa sijui kwa nini ujitoe akili kwa jambo dogo hili ujifanye huoni umuhimu wa serikali kuingilia kwenye hili.

Kama una taahira kiasi cha kuamini hivi, mbona huishauri serikali iachane na vita ya madawa ya kulevya kwamba atakayetumia shauri yake? Acha siasa kwenye hili
 

Dah kazi kweli kweli. Aliimba bwana mmoja "tuko tofauti". Mwisho wa kumnukuu.

Ila ambaye:

1. Hakuzuia ndege tokea kulikokuwa na waathirika wa ugonjwa huu,
2. Hakuwaweka quarantine wageni wote wakiwamo wale wa kutokea China kwa angalau siku 14 kabla ya kuwaruhusu kuingia nchini,
3. Hakufunga mipaka
4. Nk nk,

Hakufanya hadi ugonjwa wa hatari kama huu ukaingia nchini.

Endeleeni kumfariji.

Ila waathirika sisi hatuna maneno mazuri kwake kwa balaa alilotuletea na analoendelea kulilea likiendelea kusambaa kizembe uzembe namna hii.
 
Aunt punguza hasira,endelea kumuunga mkono mwana Ufipa mwenzio Askofu Niwemugizi maana alichokiamua Jimboni Lulenge ilikuwa ni katika kupingana na Rais Magufuli ktk kuliombea Taifa, ni hivyo tu.
 
Kaa ndani na familia yako period. Huyo jirani unayesema hakuna distance ya 2metres? Acha ujuaji
 
Km unataka lockdown kaa Ndani Wewe na familia

Hivi vitumishi vyenye uhakika wa mwisho wa mwezi kero kweli

Kumbuka kuna watu lazima watoke Ndio wale

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningejua lupo ningekuleta barakoi yenye maambukizi,wenzako wote wanacomment seriously wewe tu.
Watu tuna ndugu wazazi na watoto wanye familia wewe unataka nijiunge mimi tu itasaidia nini kama wewe unapoteza maisha kizembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…